Mke wangu kazaa nje ya ndoa, nifanyeje?

Mke wangu kazaa nje ya ndoa, nifanyeje?

Eliashop

Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
12
Reaction score
2
Naitwa Edward toka Mwanza.

Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka 4.

Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.

Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.
 
Ushauli = ushauri. Hivi wewe kweli ni mwanamume? Eti mkeo kazaa nje ya ndoa na unaelewa hivyo bado unataka ushauri!!!! Unasubiri nini?? Pumbaffff
 
lea mtoto, kama amefika huko kuna tatizo kwako, we lea tu...
 
Wewe sio mwanaume rijali unamatatizo na kusukuma mzigo ndio mahana unapigiwa nje.


swissme
 
Kazaa au kapata ujauzito nje? Na umejuaje kama ujauzito huo c wako wakati unamdinya kila siku?
 
Haa haaa unaweza kutujuza uligundua vipi kwamba mimba si yako.
 
Naitwa Edward toka Mwanya.

Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka4.

Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.

Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.
Thibitisha
 
Naitwa Edward toka Mwanya.

Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka4.

Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.

Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.

Yaani haya mambo ya teknolojia bwana yamedumaza sana akili zetu.
Kitu kama hiko sio cha kukiombea ushauri, ila ni kukaa na kutafakari wewe na akili yako na moyo wako; Na kama utaona kuwa limekuzidi kimo basi ni kutafuta ushauri kwa mmoja wa wazee unaowaheshimu na kuwaamini na/au viongozi wa dini.
Lakini siku hizi tumekosa sana busara na adabu, masuala ya ndoa yanaletwa mitandaoni. Hii sio nzuri.
 
Thibitisha

Hata na mie nataka athibitishe, maana wanaume wengine jamani wana vituko.

Either atuambie hakuwepo akakuta mtoto au tuseme yeye huko ndani anafanyaga nini mpaka wife akatafute mtoto nje ya ndoa.

ukinijibu hapo ushauri wangu utakuwa mzuri sana kwako.
 
Ni mjamzito au ameshajifungia
Dah vizazi vya zamani ndo vilifaidi "uanaume"
 
Kwani ulikua hulalinae mda wote eeh? na inakuwaje mpaka unafikia kufanyiwa hayo yote mwenyewe uko wapi? au Kazaa Mwarabu au mchina?
 
Eddo umekimbia au? Jibu kwanza maswali ya wadau ili ushauriwe vizuri.
 
Back
Top Bottom