kimacho
Member
- Feb 10, 2016
- 71
- 83
Miaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.
Ndugu zangu wakanitonya kuwa huyu wife anatoka na mtoto Wa Shangazi yangu na huyo first born wangu ni mtoto Wa huyo jamaa na mtoto wa yule ndugu yangu wanafana na first born wangu ktk kuchunguza sikujua ukweli nikapotezea nikaoa mpka sasa tunawatoto wawili huyu Wa sasa ni mm mwenyewe.
Tatizo limeanza nililonalo ambalo naomba mnishauli ni kuwa miezi miwili iliyopita nilisafiri kikazi wkt nipo mkoani wife alinipigia cm kuwa yule ndugu yangu kuna mzigo anamletea nikamwambia poa sasa nikiwa airport kuna jamaa yangu akanambia kamuona wife yupo maeneo usiku Wa sa5 na jamaa anamjua wife vizuri hawezi kumfananisha sikutaka kumpigia cm nilivyoludi dar nikamuuliza akabisha.
Nilipochukua cm yake nikakuta mwasiliano na yule ndugu yangu ambaye niliambiwa jamaa anamtafuna na hata first born wangu ni wake cm kama 8 za kufatana kumhoji kasema jamaa alipiga iliampe ulemzigo alikuwa anamuelekeza kuna mtu kampa amletee wife machale yakanicheza nikafanya nachokijua nikapata ukweli Wa Yale maongezi kumbe jamaa wanaelekezana na wife waonane wapi.
Then wanapnga jamaa aseme hayupo dar na mbaya jamaa kumbe anaiita mm taahira ananipigia cm ananiuliza akijua Niko wapi wanapanga na wife jinsi ya kunidanganya sababu huyu jamaa anaishi Arusha niliwaita wazazi wangu na wakwake mpka kwenye kikao wife aliapa miungu kuwa hakutoka nilipokuja kuwasikilizisha Yale maongezi wote walikaa kimya mpaka wife akaishiwa LA kuongea.
Mzee nikatoa talaka2 lkn wife na mamaangu ni marafiki kwahiyo mama kamchukua mkwewe anakaa nae mpaka EDA iishe waislamu ukiacha ndani ya miezi 3 unaweza mludia mkeo naombeni ushauli.
Mwakani nampango Wa kwenda kuishi Europe kwa muda sasa nawaza huyu mtu nikimludia nikamuacha home sindio itakuwa nimempa Uhuru Wa kufanya yake bora kila mtu aangalie maisha yake na hata nikiwa Europe niishi bila presha ya mke huku nyumbani tusaidiane mawazo wakuu kichwa kinanivuluga maana cjui nichukue uamuzi gani