Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Mimi nikinyimwa nachepuka tu halafu napiga kimya
 
Kuna jamaa aliwah kukaa two year bila kupewa K ndo hizi we zione hv tu. Wanawake ni shida hata kama unamkojolesha vzr ipo siku atakununia. Kwao ni kawaida may be kuna kitu kilimsibu we mpotezee mwezi then utapata jibu.
 
Kaa naye muulize tatizo ni nini? huwenda kaingiziwa maneno yasiyofaa si unakumbuka shetani alimwingizia hawa maneno ya uongo, chuguza kwanza.
 
Wanawake ni watu wa kubadilika badilika sana unaweza kuta hana jambo lolote la maaana la kukunyimia unuyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…