Mke wangu kaliwa uroda

Kama alikusaliti kwa sababu ya Mama yako msamehe,sahau na maisha yasonge mbele!....Dunia ina changamoto sana cha msingi ni kuzikabidhi!!
 
A
Acha uongo buana Hii ni Movie flan hivi ya kiNigeria.nilishaionaga sema nimesahau jina. sema umebadilisha kidogo mama mkwe badala ya Mume
 
gahawa hii
 
Hakuna paragraph hakuna mkato wala nukta. Mzee baba inamaana hata form four hujajifunza mambo hayo?
 
Jifunze kuwa wew kama wewe,kwa ufahamu wangu naona itakuumiza kisaikolojia ila baada ya muda kama ni mtu unaependa mafanikio ilo tukio litakumotivate kutafuta hela yako kwa hali na mali,msamehe ila usisahau
 
Hakuna paragraph hakuna mkato wala nukta. Mzee baba inamaana hata form four hujajifunza mambo hayo?
Nina nilipita huko mambo ya paragraph ya nn what do you learn from this &---&& mambo mengine hachAn nayo
 
Hamna kitu kinachohalalisha mke kutoa uroda nje,maana shida haziishi kama ni hivyo atakuwa anabanduliwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…