public zungu
Member
- Oct 26, 2018
- 42
- 42
Habari gani wana jf kwa kifupi mimi ni dereva bodaboda kama unavyotambua kazi zetu zina changamoto nina mteja wangu anafanya kazi benk fulani hapa Dar-es-salaam jamaa huyu ni kicheche wa kufa mtu alinipenda sana kwa sababu sijawai kuwatongoza mademu wakati nawapeleke na kuwarudisha tofauti na madereva wa BODABODA wengine ambao alikiwa anawatumia.
Mkasa huko hivi mwaka Jana mama yangu aliugua sana ilihitajika laki nane kwa ajili ya matibabu mimi nina dada zangu watatu ambao hawakujali kumguuza mama mke wangu alikuwa na mtaji wake alitumia kumtibu mama yangu mpaka ukafu shida kuipata hiyo laki nane ili afanyiwe uperesheni mke wangu aliniambia kuwa ataenda kukopa vicoba nilikubaliana naye alitoka mchana kwa ajili ya kwenda kukopa huku mimi nikiendelea na boda ilivyofika saa tisa na nusu mchana boss wa benki alinipigia simu nimfate Rambo guest pale manzese.
Nikamchukue mdada nimpeleke kwao wakati naongea naye kwenye simu nilimsikia huyu dada analalamika amemsaliti mumeo kwa ajili ya shida nilifunga safari mpaka guest sikuamini alikuwa ni mke wangu alivyoniona alishituka nikamuwai harakaharaka wewe twende nikupeleke yule boss alinisisitiza huyu ni mke wa mtu mpeleke haraka kwani amemuangaisha sana mke wangu alipanda bila hiyana maana sisi tunaishi magomeni tulivyofika tu agerntina aliniambia nisimamishe pikipiki alishuka samahani najua jinsi gani umeumia alipanda gari ya mwendo kasi za kwenda post nilienda nyumbani nakimfungashia vitu vyake siku hyo hakurudi alirudi kesho yake.
Alipofika alianza kulia sana nilikuwa na hasira nilimwambia achukue begi lake nilimpeka mpaka ubungo akapanda basi nakuondoka kwenda kwao matombo morogoro alikaa siku mbili nakunitumia SMS ilikuwa inasema.hivi
"Pole sana najua umeumia sana mimi nimeumia zaidi zaidi yako nimeuza mwili wangu kwa ajili ya mama yako ila dada zako hawakujali hilo usiku na mchana wako kwenye madisco unatambua mtaji wangu ulikufa kwa ajili ya mama yako unatambua siku ulivyonichukua guest njiani nilishuka nilienda hospitali kwa ajili ya kulipa matibabu ya mama yako nilibakiwa na elfu 25 tu ambyo nilitumia kwa ajili ya nauli kuja huku kwenda mama yako ni mama yangu samahani sana kwa kukuumiza nilifanya hivyo mama yako apate matibabu naomba nikuambie ukweli tangu tuishi sijawi kukusaliti ile ilikuwa ni Mara ya kwanza kutokan nilitumia kila njia ya kupata pesa ya matibabu ilishindikana nakuomba sana unisamehe kwa ilo mimi mama mtoto wako angel naomba ufikiliye kwa hilo "
Je wa jf nimsahehe au ?