Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

Hivi ndoa zasikuhizi ni matter ya coincidence or convenient? Najiuluza tu!

Wakuu nawasalimu.

Nimetatizwa sana na jambo moja. Last Sunday tulienda Mlimani City na wife kwa matembezi ya jioni na kununua mahitaji machache ya ndani. Wakati tumefika mataa ya Mwenge, akampigia girlfriend simu wakutane hapo maana anaishi Survey jirani na hapo. Hivyo tukawa watatu kwenye mizunguko ya humo mall; mimi, wife na girlfriend who is a family friend to us ingawa mimi sina mazoea nae kiiivile.

Mwisho tukakaa nje tukawa tunakunywa pombe zetu taratibu. Kwenye saa mbili kasoro usiku akajitokeza jamaa mmoja, baada ya kutuona akaja kutusalimia, ambapo wife aliinuka kwa shangwe kubwa kumlaki kwa hugs na zile kiss za mashavuni wanaopiganaga wale wanaojifanya wazungu.

Wife akanitambulisha kuwa "he is a longtime friend". Lile jitu likazungusha round ya vinywaji, na pia likaniomba liende limtambulishe wife kwenye meza yao nikakubali ingawa moyoni nilikua nimefura kwa hasira, sema sikutaka kuonesha, bahati mbaya zaidi meza ya hilo jitu ilijaa wanaume pekee.

Tukabaki wawili wakati wife anaongea na meza ile, yule girlfriend akasema "shemeji naomba namba yako hapa mjini huwezi kujua ya kesho na keshokutwa", nami nikajibu ni kweli kabisa, tukabadilishana namba.

Monday yule binti akanipigia simu nikiwa kazini akaniambia shemeji kuna jambo nataka kukuambia ila usinitaje, nikajibu poa, akasema, "Yule jamaa wa jana ni ex wa mkeo. Walikua wapenzi kwa miaka yote mitatu chuoni wakiishi chumba kimoja nje ya chuo kama mke na Mume".

Na kwamba kwa kipindi chote cha hiyo 3 yrs alitoa kama mimba 2 hivi za huyo mshikaji, pia uhusiano wao ulienda hadi mtaani after university life. Walikuja kuachana kila mtu alipopata kazi yule ndugu akapelekwa Bukoba. Since then hawajawahi kuonana hadi hiyo jumapili pale Mlimani City, na kwamba lile jitu limerudishwa hapa Dar na halijaoa bado ila lina mapene sana.

Binti huyu alinibembeleza sana kuwa nisimtaje kabisa kama yy ndie source ya hiyo habari. Huyu binti ni rafiki wa wife tangu chuo ila bahati mbaya ndoa yake ilipata shida kidogo na kushindikana kutokana na uzinzi wa mwanaume

Ndugu wana JF, niliporudi home jioni ya monday nikaamua kulianzisha, ambapo wife alidai hakuona busara kunitambulisha kwamba yule bwana alikua ex wake.

Nikamuuliza ilikuaje ukafurahi na kushangilia kiasi kile na kushindwa kuficha kabisa hisia zako? Akabaki anajiuma uma tu na kushindwa kujibu.

Kiukweli sijaridhika na majibu yale na bado nina hasira. Nimekaa kimya bila kumuongelesha chochote wala kumsemesha kwa salaam wakati nikitafakari hatua ya kuchukua.

Nimekuja kwenu kwa msaada zaidi..
 
Hapo hakuna siri,ilaelekea jitu lilikua linamkoleza sana wife wako kwd mitindo ambayo mpaka sasa wife anai miss.kwa vile jitu lipo dar,kazi unayo!
 
Pembeni kama hayupo ruksa? (anyway joking), wakati mwingine ukute jamaa alivamia kambi kutokana na penzi la mbali na huyo jamaa wakajikuta wanapoteana huku jamaa akaonyesha bidii ya kumdhibiti mrembo mpaka akaoa kumbe demu alikuwa ana feeling za msela (mzee wa ku-hug ila ndo hivyo alikuwa haeleweki na wakawa wamepotezana mwisho wa siku jamaa akaoa)

mmmh aisee ngumu hii inawezekana sana ikawa hivyo
 
mkuu mwanamke akipenda huwa kichaa...... huyu wife wa jamaa tayar mahaba kwa 'mmewe halali' hayafichiki....

the bottom line.... ni lazima atachepuka km bado hajafanya hvo!! UMBALI NDO ULIWATENGANISHA
but sometimes unatakiwa uheshimu na usome mazingira ujue upo na nani na kuchagua mambo ya kufanya muda mwingine ukiachia hisia zikutawale utafanya mambo ushangae na roho yako
 
Nawaza, hayo kafanya mkiwa wote. Je, wangekutana wenyewe si angeshika mhogo na kumwambia kuwa ameumiss sana ili waende akamtindue.

Ndo maana nasema hapaswi kusamehewa. Kama ndo product ya chuo hiyo basi graduates wote hawafai kuolewa. Kama kitendo cha obama kupiga picha na kiongozi mwenzake wa jinsia tofaut ilikaribia kuvunja ndoa yake ndo iwe issue ya kisses. Wanawake wako wengi na wenye hadhi ya wife. Tusiteseke bure na kupata magonjwa yasiyotarajiwa.
 
Pamoja na kwamba alichofanya mkeo si sahihi ila sisi wanawake ni wambea jamani sijapata ona, wanaume hua wanafichiana siri ila sisi sijui tumelogwa na nani? Sasa huyo shost anaona raha gani kuleta tafrani kwenye ndoa ya mwenzie au anakutaka?

some people create their own storms and get upset when it rains!!!
 
Pamoja na kwamba alichofanya mkeo si sahihi ila sisi wanawake ni wambea jamani sijapata ona, wanaume hua wanafichiana siri ila sisi sijui tumelogwa na nani? Sasa huyo shost anaona raha gani kuleta tafrani kwenye ndoa ya mwenzie au anakutaka?
Huyo Shem yuko sahihi kumtosa huyo mke mapepe. Na hizo ndio faida za umbeya kukuepusha na hatari ya mbeleni.
 
kama kweli upo hivyo hongera

Yes ndivo nilivo na nadhan ndivo ninavopaswa kuwa wala sipretend. Huwa nafikirigi wanaume wa kibantu hawapaswi kuwa kama wanaume wa western countries kwa sbb hata wanawake wa western countries hawako kama wa huku kwetu. Kiukwel mwanaume wa kweli ni kama simba huwa hachezewi sharubu. Its true ujinga wa jamaa umechangia sana upumbavu wa huyo mwanamke.
 
Afadhali mimi mke wangu ndo MUME wake wa kwanza na mwisho. Kama anaye mwingine after mimi sijui. Ila nimfahamuvyo wife must be am the only one. Pole sana mkuu vumilia tu
Wewe jitekenye tu! Kama ulikuta mbele salama. je 0713 vp! watu wabaya dunia hii, bora kaa kimya.
 
Yan changamoto kama hizi znazojirudia kila uchweo znafanya kabsaa ni mwoga kuoa ...! Utakae muoa ni ex wa flan na watakutana tu accidentally so nahis kuwa tu mpnz tosha bila kumuingiza kwenye mkataba wa ndoa manaa ni stresssss tuuu kwenye ndoa ...
 
Kosa ulilifanya mwenyewe, kumruhusu mkeo kwenda kutambulishwa meza jirani, kinachokuuma ni pale unapotengeneza picha ya jinsi walivyotambulishana na maneno yaliyokuwa yakizungumzwa baina yao.
 
yalio pita sindwele mkuu yajenge na wife kama hayo yalikua yachuo basi yesha ishia kule labda kama ana cheat mara kwa mara anaeza mlegezea mchiz kama sio wa hizo tabia bas nifuraha tu kukutana na ex mkasalimiana coz kuachana sio ugomvi uyo demu unae sema rafiki yake aseme ukweli tu kama kashoboka umpe mzigo asianze kugombanisha ndoa yenu pia chunguza kisa kilicho mfanya amwagwe na mchizi uyo demu mnafiki ata haribu ndoa yako
Hayaja kukuta haya mambo ndo maana unachukulia poa!
 
Mkuu nitakutafuta, nna kesi km yako! Ila kwa kipindi hiki kaa mbali na aina yyt ya silaha!
 
Wakuu nawasalimu.

Nimetatizwa sana na jambo moja. Last Sunday tulienda Mlimani City na wife kwa matembezi ya jioni na kununua mahitaji machache ya ndani. Wakati tumefika mataa ya Mwenge, akampigia girlfriend simu wakutane hapo maana anaishi Survey jirani na hapo. Hivyo tukawa watatu kwenye mizunguko ya humo mall; mimi, wife na girlfriend who is a family friend to us ingawa mimi sina mazoea nae kiiivile.

Mwisho tukakaa nje tukawa tunakunywa pombe zetu taratibu. Kwenye saa mbili kasoro usiku akajitokeza jamaa mmoja, baada ya kutuona akaja kutusalimia, ambapo wife aliinuka kwa shangwe kubwa kumlaki kwa hugs na zile kiss za mashavuni wanaopiganaga wale wanaojifanya wazungu.

Wife akanitambulisha kuwa "he is a longtime friend". Lile jitu likazungusha round ya vinywaji, na pia likaniomba liende limtambulishe wife kwenye meza yao nikakubali ingawa moyoni nilikua nimefura kwa hasira, sema sikutaka kuonesha, bahati mbaya zaidi meza ya hilo jitu ilijaa wanaume pekee.

Tukabaki wawili wakati wife anaongea na meza ile, yule girlfriend akasema "shemeji naomba namba yako hapa mjini huwezi kujua ya kesho na keshokutwa", nami nikajibu ni kweli kabisa, tukabadilishana namba.

Monday yule binti akanipigia simu nikiwa kazini akaniambia shemeji kuna jambo nataka kukuambia ila usinitaje, nikajibu poa, akasema, "Yule jamaa wa jana ni ex wa mkeo. Walikua wapenzi kwa miaka yote mitatu chuoni wakiishi chumba kimoja nje ya chuo kama mke na Mume".

Na kwamba kwa kipindi chote cha hiyo 3 yrs alitoa kama mimba 2 hivi za huyo mshikaji, pia uhusiano wao ulienda hadi mtaani after university life. Walikuja kuachana kila mtu alipopata kazi yule ndugu akapelekwa Bukoba. Since then hawajawahi kuonana hadi hiyo jumapili pale Mlimani City, na kwamba lile jitu limerudishwa hapa Dar na halijaoa bado ila lina mapene sana.

Binti huyu alinibembeleza sana kuwa nisimtaje kabisa kama yy ndie source ya hiyo habari. Huyu binti ni rafiki wa wife tangu chuo ila bahati mbaya ndoa yake ilipata shida kidogo na kushindikana kutokana na uzinzi wa mwanaume

Ndugu wana JF, niliporudi home jioni ya monday nikaamua kulianzisha, ambapo wife alidai hakuona busara kunitambulisha kwamba yule bwana alikua ex wake.

Nikamuuliza ilikuaje ukafurahi na kushangilia kiasi kile na kushindwa kuficha kabisa hisia zako? Akabaki anajiuma uma tu na kushindwa kujibu.

Kiukweli sijaridhika na majibu yale na bado nina hasira. Nimekaa kimya bila kumuongelesha chochote wala kumsemesha kwa salaam wakati nikitafakari hatua ya kuchukua.

Nimekuja kwenu kwa msaada zaidi..

Everyone has a past. Huyo mwanamke anakutaka ndo maana anamchongea rafikiye
 
Hapo bro usiweke hasira wewe ndio mwenye mali ila weka tahadhari, ukiona wife anaanza kubadilika na vijisafari visivyokuwa na mpango hapo kuna jambo linaendelea. Lakini kwa sasahivi wewe ndio mume unamuogopa nini mpita njia.
 
Huyo jamaa anayedai kaumizwa ni mnafiki,alipomuoa alikuta hana bikra anafikiri nani aliitoa?
Wewe ongeza ukaribu na mkeo atatulia na wewe ila ukionyesha huzuni hakika atarudiana na huyo jamaa tena ukute ndio aliyefanya naye maagano-kumtoa damu,utakuwa umekwisha habari yako.
 
Back
Top Bottom