Ndoa yako inanyemelewa na pepo wawili...namba moja ni girlfriend na namba mbili ni jitu.... Girlfriend kwa sababu hakupaswa kabisa kukuambia kwani inawezekana hamna hisia kati ya jitu na mkeo ila ni mazoea waliyoyajenga ya kusalimiana nitarudi kw kosa la mkeo.....Jitu kwa sababu akijua dhahiri shairi kwamba wewe ni mme wa ex wake anaonyesha kiburi ya hela kwa kumnunua mkeo kwa round moja, nikiri wewe ni mvumilivu na mpole na ndio maana tunda lako litaliwa.....Back to mkeo bila kumumunya maneno ameonyesha kiwango cha juu kabisa cha dharau, kiburi na kukutawala kwani hakupaswa kusalimiana na ex wako kwa mtindo huo na pia hakupaswa kukuacha mezani kwenda kusalimiana na ex wake...Jambo unalotakiwa kufanya ni kuanza uchunguzi rasmi ya mwenendo wa mkeo baada ya kuonana tena na jitu kwani kama walishaishi pamoja na pengine kuwekeana nadhiri za kutokuachana rafiki ujiandae na dawa na kutuliza maumivu.... Usijipe majibu au kumchukia mkeo kabla ya uchunguzi kwani kwa kufanya hivyo ndio utaibiwa kwa mbinu kali zaidi.
Cha kufanya leo ukifika home mwombe msamaha wife na mwambie nisamehe kwa kukuhisi vibaya hapa utampa muda wa kufungua champagne kusherehekea kukufanya zoba kumbe ndio anajiingiza kwenye 18 zako. Chunguza kwa uangalifu asijue kwani kama hamna lolote akijua itakuwa timbwili. Nikutakie mwanzo mwema na pole.
Huyo binti kisa ndoa yake iliingia shida bhasi kaamua na ya rafiki yake wawe sawa.. okey.
Acha ni.like nipite
We ni.mtu mzima, km vp endelea na mkeo hiyo mambo potezea..
hahahahaha sasa nyie wake zetu Hornet hamna makalio tufanyeje zaidi ya kuangaza angaza mijichoNyie mnavyoshangaaga makalio mnafikiri hatuumii?
atapotezea vp wakati kaona mwenyewe yaliyo tokea
usiseme tu kirahisi iyo
Nakubaliana na wewe kuhusu huyo so called rafiki wa mkewe. Kwamba ana uchungu sana na huyo shemeji yake au?? Friends stick together - PERIOD. Rafiki wa kweli angeongea na shoga yake na kumkanya juu ya kile alichokitenda na si kwenda kwa mume na kutoa taarifa za nyuma. More like anamuonea wivu rafiki yake!sina imani na huyo binti aliyekupa source kwa sbb hii moja, namna alivyoomba no yako ni kiwiziwizi nina mashaka kuwa anajisafishia ya kuwa na wewe kupitia mgongo wa hilo tukio la kukutana na huyo mtu, cha kufanya usiamini maneno ya huyo moja kwa moja ila anza kufanya uchunguzi kwa mkeo kuhusu mwenendo wake, kama ukihisi mabadiliko basi yaweza kuwa kweli kama ukihisi yupo kawaida basi tupia mbali uzushi huo. hapa mjini mkuu wanawake wengi wanahitaji sana kuolewa na wanaitafuta nafasi hiyo hata kwa unyang'anyi toka kwa ma best wao
Yaan huyu jamaa amkanye.mkewe asiwe karibu na huyo jamaa..
teh teh teh!
sema mtoto kakubali!!...sijui alidhani mme wake yupo nyumbani
[" lile jitu likazungusha round ya vinywaji, na pia likaniomba liende limtambulishe wife kwenye meza yao
bahati mbaya zaidi meza ya hilo jitu ilijaa wanaume pekee
lile jitu limerudishwa hapa dar na halijaoa bado ila lina mapene sana na kwamba lile jitu limerudishwa hapa dar na halijaoa bado ila lina mapene sana
Nimekuja kwenu kwa msaada zaidi
Ndoa yako inanyemelewa na pepo wawili...namba moja ni girlfriend na namba mbili ni jitu.... Girlfriend kwa sababu hakupaswa kabisa kukuambia kwani inawezekana hamna hisia kati ya jitu na mkeo ila ni mazoea waliyoyajenga ya kusalimiana nitarudi kw kosa la mkeo.....Jitu kwa sababu akijua dhahiri shairi kwamba wewe ni mme wa ex wake anaonyesha kiburi ya hela kwa kumnunua mkeo kwa round moja, nikiri wewe ni mvumilivu na mpole na ndio maana tunda lako litaliwa.....Back to mkeo bila kumumunya maneno ameonyesha kiwango cha juu kabisa cha dharau, kiburi na kukutawala kwani hakupaswa kusalimiana na ex wako kwa mtindo huo na pia hakupaswa kukuacha mezani kwenda kusalimiana na ex wake...Jambo unalotakiwa kufanya ni kuanza uchunguzi rasmi ya mwenendo wa mkeo baada ya kuonana tena na jitu kwani kama walishaishi pamoja na pengine kuwekeana nadhiri za kutokuachana rafiki ujiandae na dawa na kutuliza maumivu.... Usijipe majibu au kumchukia mkeo kabla ya uchunguzi kwani kwa kufanya hivyo ndio utaibiwa kwa mbinu kali zaidi.
Cha kufanya leo ukifika home mwombe msamaha wife na mwambie nisamehe kwa kukuhisi vibaya hapa utampa muda wa kufungua champagne kusherehekea kukufanya zoba kumbe ndio anajiingiza kwenye 18 zako. Chunguza kwa uangalifu asijue kwani kama hamna lolote akijua itakuwa timbwili. Nikutakie mwanzo mwema na pole.
duh huo usutaji wa wine na cake ndio unakuwaje?