Tegelezeni
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 268
- 124
Aaaaaaaaaaahhhhh!Kwa mfano wewe ndiyo ungekuwa mwanamke, halafu mumeo anataka kurithi mke wa kaka yako ungekubali?Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Mkuu mila zetu zinasema hivyo, na mimi siwezi kukataa kwani nitaachiwa laana na wazee kwa kwenda kinyume na mila na desturi za kabila letukwa hiyo wewe unataka kumrithi huyo mwanamke au unasemaje.. chengine wewe utakuwa na mambo ya ajabu kumfikiria mke wa marehemu..
Ni nani kakwambia kwamba kaka yangu kafa kwa ukimwi?Jamani!!!! Khaaaaaaaaaaaaaaa!!! hivi haya mambo bado yapo!!! Maweeeeeeeeeeee!!! jamani na magonjwa yoooote hayo lakini binadamu hatuoni, kwani kaka uko upande gani wa utandawazi , maana hizo ni mila potofu ambazo zinazidisha maambukizi ya Ukimwi. Lakini wewe unataka kurithi mke, kwa nn usirithi watoto ukawasomesha? mpk na mama yao? mh! ama kweli ukishangaa ya firauni.
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Huyo kaka yangu hakuwa na mali wala nini, mimi ndio naonekana kwetu kuwa nina nafuu hivyo nimetakiwa kumrithi mke wa kaka yangu ili nimsaidie kulea watoto na kumtunza huyo mjanehicho kikao cha familia na wewe uliyeridhia hovyoooooo
au mnataka mali za marehemu? Maana kama mna nia ya dhati mnaweza kumsaidia shemeji yako bila kumridhi... Tena kamati nzima ya ukoo mmeshindwa kuja na njia endelevu ya kusaidia zaidi ya hiyo?
Na huyo mwanamke kakubali umridhi? Au mlikuwa mnatamaniana kabla mumewe hajafa?
Anyway najiuliza tu
Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga.ilitukusaidie vilivyo:- tupe desturi za mila yenu (kabila,Ukoo) na umri wako na umri wa shemeji yako....
ilituweze kusavu ndoa yako A na usipoteze B.
Good luck mume mwema.
Kuna kabila moja huku kwenye visiwa vya ziwa victoria, wana tabia ya "KUWATAKASA WAJANE".eti kila mwanamke anayefiwa na mumewe, ili aweze kuolewa na mwanamme mwingine lazima "ATAKASWE", kwa maana kwamba kuna mwanaume(MTAKASAJI) ameteuliwa kwa kazi hii ya kuwatakasa(KUWAGEGEDA) wajane kabla hawajaolewa tena ili wasipate mikosi kwenye ndoa zao.Jamani!!!! Khaaaaaaaaaaaaaaa!!! hivi haya mambo bado yapo!!! Maweeeeeeeeeeee!!! jamani na magonjwa yoooote hayo lakini binadamu hatuoni, kwani kaka uko upande gani wa utandawazi , maana hizo ni mila potofu ambazo zinazidisha maambukizi ya Ukimwi. Lakini wewe unataka kurithi mke, kwa nn usirithi watoto ukawasomesha? mpk na mama yao? mh! ama kweli ukishangaa ya firauni.
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Wewe wasema, lakini mimi ninafuata mila zetu, hayo mengine hayanihusu, hata mke wangu wakati namuoa alikuwa aanajua kuhusu mila zetu maana kwetu hata shangazi yangu alirithiwa na mdogo wa mumewe aliyefariki mwaka 1985Aaaaaaaaaaahhhhh!Kwa mfano wewe ndiyo ungekuwa mwanamke, halafu mumeo anataka kurithi mke wa kaka yako ungekubali?
Hapa mie naona unaendekeza njaa.Hizi mila zingine bwana, kwanini usichukue tu jukumu la kusaidia kui-support hiyo familia bila kumuoa huyo mwanamke?
Kwani mungu alipomchukua hakujua kama damu yake itapotea.
wewe sema tu ulimtamani shemeji yako tangu siku nyingi na ulikuwa unasubiri wakati muafaka.
ila kama umedhamiria, bora umpe mkeo talaka akaanze maisha mapya salama kabla haujamletea maradhi kutoka huko unakoenda kurithi.
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Huyo kaka yangu hakuwa na mali wala nini, mimi ndio naonekana kwetu kuwa nina nafuu hivyo nimetakiwa kumrithi mke wa kaka yangu ili nimsaidie kulea watoto na kumtunza huyo mjane
Msamehe mkeo, mpe talaka aepuka balaa hili unalolikimbilia. ukimwi, Hepatitis B and c havipimwi kwa macho.Ni nani kakwambia kwamba kaka yangu kafa kwa ukimwi?
Nishasema kafa kwa ajali mwezi uliopita