Mke wangu kabadilika sana.....


Ushauri wako mzuri nitaufanyia kazi........ntamsikilizia atareact vp.
 

haya mpya kabisa haya,lakini kwa nini akufanyie hivyo?nina mashaka na wewe Kwanza.
 
Aliondoka siku ngapi? Fanya uchunguzi...inawezekana hata hakuenda Mwanza kwa wazazi....labda alikuwa mtaa wa pili....sasa amenogewa anatafuta njia ya kurudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…