teh tehPeleka jukwaa la siasa, hili jukwaa tupo seriaz.
Peleka jukwaa la siasa, hili jukwaa tupo seriaz.
Mke wangu tangu nimemuo tuna miaka 3 lakini ajawahi hata siku moja kujamba tukiwa wote muda mwingine anabana ushuzi mpaka tumbo linaunguruma nikimuiliza tatizo nini ananiambia tumbo la kawaida. Je nifanyeje jamani
Mpe mkeo maharage changanya,kisamvu na parachichi kidogo kisha ashushie na maziwa mgando ila kama una papai itakuwa poa.Akishakula jifanye km umesahau kuwasha feni utaacha kupost haka ka thread ka aina hii tena
huyo mwanamke wako sio mtu mzuri sasa kama kitu kidogo hivo kujamba tu anakuficha
unadhani anakuficha mangapi?
Wee endelea kujamba mbele yake ipo siku naye atakulipa tu.
Peleka jukwaa la siasa, hili jukwaa tupo seriaz.
Mke wangu tangu nimemuo tuna miaka 3 lakini ajawahi hata siku moja kujamba tukiwa wote muda mwingine anabana ushuzi mpaka tumbo linaunguruma nikimuiliza tatizo nini ananiambia tumbo la kawaida. Je nifanyeje jamani
daaaaaaah!Mke wangu tangu nimemuo tuna miaka 3 lakini ajawahi hata siku moja kujamba tukiwa wote muda mwingine anabana ushuzi mpaka tumbo linaunguruma nikimuiliza tatizo nini ananiambia tumbo la kawaida. Je nifanyeje jamani