chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Mwizi tu uyo!
Mwizi tu uyo!
Hivi hukusoma communication na kuambiwa kuwa 'body language' inabeba ujumbe kwa sehemu kubwa kuliko 'words'? Sio mkeo tu bali ni kawaida ya wanawake walio wengi?
Huyo ndo mwanamke alofundwa akafundika
Sio mwizi kwani haiwezekani kujiibia kwani chako ni chako tu.
kama unamuelewa inatosha
Mke wako anatabia za kimalaya. Mle jicho
Si wote huseme kwa maneno. Anaona soni
Huli peke ako huyo