BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Kuna binadamu hawana aibu.....au aende na mtu WA kumsaidia kabisa sio mke ageuke housegirl,nishaona watu wanakuja kujifungua kwa watu akifika kila kitu apewe Hana pesa ya matumizi,hata ya usafiri kwenda hospital Hana ,mke huyo kachomoa Ana akili kama zangu
Ubinadamu siku hizi ni wakuutafuta sanaHata mi nisingekubali,akianza kuugua nani aanze kuhangaika?akiumwa uchungu kumpeleka hospital,kupeleka chakula hospital,akijifungua kumpikia Mara kumfulia khaaa,aende kwa wakwe zake au ndugu zake,siku hizi watu tupo busy,mkeo yupo sahihi
au kama anakuja aje na msichana wa kazi kabisa wa kukesha nae hospitali
Ubinadamu siku hizi ni wakuutafuta sana
Mademu hawapendani sana sasa mtu tena ni watu inavyoonekana wanakuja zaidi ya mmoja sasa hofu ni nini je, alimwambia kwamba yeye ndio atamuudumia au aje tu akae mpaka muda wa kujifungua?! Je alimwambia kwamba atakuwa tegemezi kwao?!
Kama atakuja na msaidizi na hela ya matumizi kuna tatizo gani?
Hivi nyie mademu wa jf wakati mnajifungua wakina nani waliwasaidia na wao walikuwa wanasema hivyo hivyo wakati mnawaita waje kuwasaidia?!
Huyo mama ako anatofauti gani na wewe na mwanamke mwinginewalitusaidia mama zetu SI mtu baki
Huyo mama ako anatofauti gani na wewe na mwanamke mwingine
Mbona wewe unamuona mwanamke mwezako kero na mama ako alikuona kero?
Labda sijakuelewa...ila nilifikiri ni jambo la ubinadamu ukizingatia hao jamaa ni marafiki wa muda mrefu/ndugukhaa nadhani hatuelewani,tatizo Ni kuanza kuhudumia mjazito au huelewi,yaan Mama yangu umfananishe na mtu baki we hujaelewa
Labda sijakuelewa...ila nilifikiri ni jambo la ubinadamu ukizingatia hao jamaa ni marafiki wa muda mrefu/ndugu
Alafu mme-conclude kwamba yeye mwanamke ndio atamuhudumia ila sijaona kama kasema hivyo... Yeye kasema "wageni"...
Nadhani ni jambo ilitakiwa walijadili kwa undani... Lakini inavyoonekana hamtaki justification ya aina yyte ile...ni kwamba hatakiwi hapo... Period
Sio kwamba hatupendan kumbuka mwanaume yeye kakaribisha ila wa kumuhudumia n mkew hakuna tabu ngum kama kulea mimba ya kukaribia kujifungua na kulea mzaz ....n ngumu kuliko unavyodhan ...vyakula ..kufua...kumkanda maji..hapo kama ndio mtt wa kwanza hata kumbeba kumwogesha hajua hata mm ningechomoa ...sorrySijui kwanini wanawake hawapendani... Sijui kwakweli....