Mke wangu hataki niende kazini

Hata sisi tuliyasikia hayo ila, tulimmbembeleza akakubali. Mweleze wajibu ulio nao kwake na muda si mrefu wajibu wa baba mtoto. Pia angalia sana position kwa sasa, usijetuletea njiti mjukuu. Haishibwi hiyo kitu
 
afadhali yako mie nna ugwadu balaa miezi kadhaa nimenyimwa kisa mimba inamchosha. nna shahawa kisado now.
 
Habari zenu wana Jf,

Wenzangu,

Kuna jambo lina nisumbua mwenzenu, mke wangu ana uja uzito wa miezi mitano, kila mda anataka kusex nikishinda nyumbani hiyo ndo kazi.

Kazini siendi nikitaka kuondoka analia afu anasema tuondoke wote bila hivo nyumbani hakuna amani kabisa yaani hapakaliki, hapa nilipo pesa zote nimekula sina kitu ila yeye hilo halitambui.

Naombeni ushauri wenu wakuu nifanyeje? Maana mke wangu nampenda sana sipendi nione akilia naumia sana.

Hivi we kijana una matatizo? Yaani unaacha papuchi yako uliyoitolea mahari na una uhalali nayo kabisa.
Yaani pesa ni bora kuliko ny*ge za mwenzio???

Teh...teh..teh Akili kichwani.
 
Hawa ndo wale washkaji anakupigia simu anakuomba umkope pesa ya kwenda kumtoa wife hostipal amejifungua..Unajiuliza huyu kipindi chote alikuwa anaiangalia mimba kama sinema ama
inaudhi sana ,, huwa napata shida na washikaji wa namna hiii kipindi hichi anatakiwa ajiandae kuwa na hata milion mbili kwa ajaili ya maandalizi ya kumpokea mtoto .... kuna wanawake wanajifungua maziwa yanagoma kabisa kutoka ndiyo umekopa hela ya kujifungua sijui kama ataweza maziwa ya kumpa mtoto na jinsi gharama zilivyo juuuu... ukosefu wa mipango sema acha tuwasaidie hivyo hivyo japo tunawalemaza
 
Uwiii mimba hizi. Pole dear .. Try to talk to her even though now si mind yake inayomfanya hivyo.. Ni hormones dear.. Kuwa mvumilivu hayo yote anayokufanyia now baada akijifungua ukimuhadithia atakataa hakufanya hivyo.. So ongea nae kwa upole na explain to her that you both need money Ku mtake Care yeye and unborn baby so you definetly need to work .. Ukiona haelewi , do what you think its right but the job is very important dear .. Thanks..
 
Ndio tatizo la kuoa 'vitoto' Sheria ya ndoa kwa kweli inabidi iwe reviewed. Hii ya ndoa kuanzia umri wa miaka kumi na tano kwa msichana ni tatizo...
 
Wajawazito wanamambo mengi kwan shukuru mimba hamsumbu kwa maradh,, ila jipangieni ratiba ambayo itazingatia mda wa kaz n kumfanya brain yake ikontroo maamuzi kwan ratiba itamfanya ajue kesho hata iweje lazima uondoke asubui na urud mida mlopnga hapo ni kumjenga tu kisaikolojia bradaa
 
inaudhi sana ,, huwa napata shida na washikaji wa namna hiii kipindi hichi anatakiwa ajiandae kuwa na hata milion mbili kwa ajaili ya maandalizi ya kumpokea mtoto .... kuna wanawake wanajifungua maziwa yanagoma kabisa kutoka ndiyo umekopa hela ya kujifungua sijui kama ataweza maziwa ya kumpa mtoto na jinsi gharama zilivyo juuuu... ukosefu wa mipango sema acha tuwasaidie hivyo hivyo japo tunawalemaza

Sure...Huu ni uzembe grade A..
 
inaelekea unamgusa gusa tu nende deep sea mkuu, mpaka nusu kaputi imuishe usharudi kazini.
 
Habari zenu wana Jf,

Wenzangu,

Kuna jambo lina nisumbua mwenzenu, mke wangu ana uja uzito wa miezi mitano, kila mda anataka kusex nikishinda nyumbani hiyo ndo kazi.

Kazini siendi nikitaka kuondoka analia afu anasema tuondoke wote bila hivo nyumbani hakuna amani kabisa yaani hapakaliki, hapa nilipo pesa zote nimekula sina kitu ila yeye hilo halitambui.

Naombeni ushauri wenu wakuu nifanyeje? Maana mke wangu nampenda sana sipendi nione akilia naumia sana.

Hebu jaribu kuwatafuta wamasai wana dawa za asili za kunenepesha dushelele likifanikiwa hilo utaniambia hatakuwa na hamu tena na utaenda kazini bila yeye kukuzuia😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom