Mimimnaona huyo mama hakupendi ni bora ungeachana nae tu.
Samabani mwenzangu wewe ni Mjaluo au ndio wale wakina Mwampondele maana hiyo text ya blue inachanganya
hivi siku hizi watu wanabebana tu bila hata ku-take time kuwafahamu hao wenzi wao angalau kidogo? inakuwaje mtu kaoa 'jusi jusi' halafu in a couple of weeks malalamiko yanaanza? very mind-boggling kiukweli