Mke wangu haniheshimu

Pole sana ndugu feisal firdaus, naomba kuuliza je hiyo tabia alikuwa nayo muda mrefu kabla hujaamua kumuweka ndani na kuzaa nae au imeanza baada ya hayo yote.
Baada ya kuanza kuishi nae tumehama nyumba nyingi za kupanga anangombana na watu majirani be mpaka Sasa nimejenga
 
achana na huyo mwanamke oa mwanamke wengine . usipokuwa makin ukiendekez hisia za mapenz basi tarajia ao watoto wako watakuj kuwa watoto wa ovyo sana.

coz watacopy life style ya mama yao per 98%.

sasa liondoe tatizo mapema ulikosea ila haina maana uendelee kukosea
 
Sawa mkuu
 
Kimbia mkuu ukajipange ulee watoto la sivyo utakufa siku si zako na hao watoto hutalea. chagua moja ufe haraka uache watoto... au usepe uwe na amani na nguvu ya kulea watoto.. NB : naongea kwa uzoefu yameisha nikuta kama yako.
Asee, nipe tips na mimi, maana nahisi nitakufa mapema
 
Msalaba wako huo ubebe, unataka umtupie nani mzigo
 
Kwa hiyo watoto ndo kitanzi kwako. Muweke wazi jinsi unavyojisikia ibaya anapokataa kukuheshimu, na umwambie uamuzi wako wa mwisho iwapo ataendelea na tabia usiyopenda. Ukiona anakwambia yupo tayari kwa maamuzi yoyote utakayochukuwa, jua alishajiandaa kitambo na unagongewa, na huenda hata watoto sio wako.

Alafu na wewe unamwitaje mtu wa sogea tukae km mke. Huyo mi hawala tu, maanake ni cha wote bado. Kwa lugha nyingine Jimbo bado liko wazi huyo.
 
Yes! Binadam wa kawaida hawezi kuwa Ivo! Usimkimbie hebu msaidie ama tatizo huyo!
 
Mkabidhi kwa bwana. Hali unayopitia ni moja ya tabia ya kutokumuheshimu Mungu na kuishi maisha ya toba. Umepewa wa kufanana nae

Mkuu umeanza kuishi na mwanamke kabla ya Ndoa

Umeanza uasherati na ukapelekea kupata na watoto.

Tubu ww na mwenzio mfunge ndoa. Shetan hataki mfunge ndoa. Na hata Hawa ndo alidanganywa na shetani sio adamu. Changamka ukafunge ndoa hakuna aliyekamilika
 

Unamfahamu mtu mmoja Jina lake Yesu. Mtafute ukimpata nenda mpeleke kwa wazazi wako kamtbulishe wakimkaribisha nyumbani kwenu utaona Magego ya wazazi wako. Usipofanya hivyo kilichopandwa na wazaz wako nawe utakivuna. We Kalia bia
 
Muue
 
Mkuu unakaza kweli au unatuswitch???
 
Mkuu unakaza kweli au unatuswitch???
 
Kuna wanawake ili mdumu inatakiwa usipatikane nyumbani 24/7. Kuwa busy na shughuli zako. Kama ni mwajiriwa fungua kamradi katakako kukeep away na home baada ya masaa ya kazi au wakati mwingine unapotea kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…