Mke wangu haniheshimu

Katika vitu vinavyopunguza life span kwa wanaume ni kupata mweza wa design hiyo.Chagua moja ukae nae Kisha ufe mapema na uwaache wanao yatima,au uachane nae Kisha uishi maisha marefu huku ukilea wanao(ingawa uko mbali nao).Nakushauri chaguo namba mbili nadio Bora zaidi,kwani utaokoa maisha Yako then watoto hawatakuwa yatima.
 
Pole mkuu ila tueleze bi mkubwa wako tatizo umeliona Ni lipi yeye ndio mwenye mdomo na matusi au mzee ni mpole sana nn au umeona kosa gani kwa bi mkubwa wako


Mnk hat mm goroko nimekulia katika familia ambayo kulikuwa na migogoro Sana alfu baadae wazaz walikuja kupendana Sana
ila mzaz mmoja amefariki ila mwazo mzee ndio alikuwa mtata balaa
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu
 

Na bado ukamzalisha pamoja na hizo tabia?
 
Asante kaka nimekuelewa
 
Ana biashara ya duka mkuu ila Mimi nimeajiliwa nafanya kazi
Huenda kwenye malezi utotoni alipitia torture sana....jaribu kuchunguza malezi yake kama hakunyanyaswa udogoni..then anzia hapo...mtaftie tiba ya kisaikolojia..hujiulizi kwanini haheshimu kila mtu?? Bora ingekuwa kwako tu....pole sana
 
Mwanamke mwenye mdomo atakuua taratiibu na kelele zake, Wengi wanajuwa namna kumuua mtu bila kumgusa ni kuhakikisha anakasirika kila wakati. Chukua hatua na maisha ni yako.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Usidanganyike na watoto Mkuu.....fanya maamuzi magumu...
 
Huenda kwenye malezi utotoni alipitia torture sana....jaribu kuchunguza malezi yake kama hakunyanyaswa udogoni..then anzia hapo...mtaftie tiba ya kisaikolojia..hujiulizi kwanini haheshimu kila mtu?? Bora ingekuwa kwako tu....pole sana
Mkuu umezungumza ukweli maisha hakuwahi kuishi na baba wamelelewa na mama tu baba yao aliwakimbia akanza kuishi mwanamke mwingine hata pia hatumia ubini wa baba yake na pia alikuwaanachukia sana baba yake hata alipokufa alikwenda kuzika Kama vile kuwakilisha tu lakini hakuwa uzuni Wala mm namuona mtu mwenye visasi na watu wengi amekombana nao kila kukicha ugomvi na watu wa karibu nikweli atakuwa anatatizo la kisakolojia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…