nimeoa mtu wa manyara....mbulu, mbona dada zake wanaonekana wana heshima? hata kama hayupo wao wakinitengea maji bafuni utasikia wanasema..''shem kaibu maji bafuni'' lakini yeye mwenye mali utasikia anafyatuka ''nyanyuka ukaoge wengine wanataka kuoga utawachelewesha'' basi mi namwangalia simumalizi!Mkuu umeoa kabila gani? kuna baadhi ya makabila wanawake wao hawana hali ya unyenyekevu kabisa.
nilishampa hiyo tahadhali akasema labda nitakuwa nimeamua tu maana hiyo siyo sababu ya kuweza kunipeleka huko!...nashindwa kumuelewa kabisa!Tafuta nyumba ndogo chai utanywea bafuni utaogeshwa utasuguliwa utapakwa mafuta itachanwa nywele kila huduma unayokosa kwa mkeo hapo utaipata Mara Tatu yake
hapa tunapoishi tumepanga chumba na sebule na hakuna namna ya kuweka bomba bafuni...kuhusu kucheat..kwangu hilo ni kosa ambalo halisameheki maana hata mimi njitahidi kuliepuka!Kama ishu ni maji ya kuoga tu, si uweke mabomba bafuni?
Na akikucheat si utamla alive?
Culture, culture, culture!
nimeoa mtu wa manyara....mbulu, mbona dada zake wanaonekana wana heshima? hata kama hayupo wao wakinitengea maji bafuni utasikia wanasema..''shem kaibu maji bafuni'' lakini yeye mwenye mali utasikia anafyatuka ''nyanyuka ukaoge wengine wanataka kuoga utawachelewesha'' basi mi namwangalia simumalizi!
dah! ngoja tu nitumie sehem ndogo ya hekima yangu manake ningegeuza side B pasingetosha.
jibu jepesi ni kwamba mkeo hajazoea hayo unayoyataka kufanyiwa, hivyo kumlazimisha inakuwa kero kwake. nakushauri kama unapenda hayo uliyoyasema basi mwonyeshe mfano siku moja chukua maji tia wenye ndoo mwambie mke wangu mpenzi karibu tukaoge, najua atakwenda kuoga lazima mkisha maliza una mwambia basi mwenzio ukinifanyia hivi nitafurahije?? napenda kubembelezwa mm na kutamkiwa maneno ya ukarimu namna hii. siku hiyo hiyo ataanza kukuambia.
alternatively weka maji ya shower bafuni kwako, hutohitaj kuwekewa maji ni kiasi cha wewe kuingia na kufungua bomba tu.
Kaka makabila ya kaskazini Tanzania, kanda ya kati na hata ya Pwani kidogo inabidi mwanaume uwe mvumilivu haswa kama watokea mikoa kinyume na hiyo.
Mathalani, kabila kama la Kingoni kawaida mwanamke hujinyenyekeza kwa mwanaume kwa kupiga magoti wakati wa salamu, ukaribisho wa chakula n.k lakini hilo ni kinyume kwa makabila ya kaskazini. Kukaribishwa mezani wakati mwingine huwa Kijeshi jeshi.
Sasa "mbwa uliyemzoea ndiye unayeweza kuishi naye". Yakupasa umzoee mkeo kwa kadiri na namna alivyo huku ukitambua kuwa makabila ya huko hayana baadhi ya gestures kama yalivyo makabila mengine.