Mke wangu halipendi Tangazo la BAKI NJIA KUU

Mke wangu halipendi Tangazo la BAKI NJIA KUU

Kuna kitu hapo! HUENDA dhamiri inamshtaki kuna kitu hakipo sawa au hata inawezekana anaona haya maana haya matangazo ya siku hizi producers hata hawayafanyii censorship iliyomakinika matokeo yake yanakuwa si ya kutazama mkiwa familia nzima mbele ya tv
 
Ahsante mkuu, ila watoto wetu bado wadogo sidhani hata kama wanaelewa maana ya Njia Kuu na michepuko, na nimemchunguza mara nyingi sana sio mara moja, na kama ni issue ya kutofaa kifamilia angesema, hii naona anakufa na siri yake moyoni mkuu...ila nitachunguza zaidi, nimepata point nyingi za kunisaidia mkuu
 
Hivi watu huwa mnajiuliza kabla ya kuweka threads JF?

Habari za mkeo kupenda au kutopenda tangazo zinatuhusu nini sisi?

Unashindwa kumuuliza?
 
Kama anatumia smart phone download app ya call trackker kwenye simu yake install then mpatie tu simu we mambo yoote yanakuwa yanaingia kwenye mail yako, angali wasije wakakuimbia parapanda sio muda lakini

Ahsante sana mkuu, nitajaribu kuiweka, ila ninavyompenda sijui itakuwaje ikiwa nitakuta mchepuko, nampenda sna mke wangu.....parapanda saizi hawa watoto watalelewa na libaba gani lingine??? MMh ngoja nifikirie zaidi mkuu, ingekuwa girlfriend ingeniuma ila nisingemind kihivyo....mke dah! Ila lazima nijilinde mkuu na ngoja nianze kujiandaa kisaikologia. Njia Panda hii!!!
 
Ahsante mkuu, ila watoto wetu bado wadogo sidhani hata kama wanaelewa maana ya Njia Kuu na michepuko, na nimemchunguza mara nyingi sana sio mara moja, na kama ni issue ya kutofaa kifamilia angesema, hii naona anakufa na siri yake moyoni mkuu...ila nitachunguza zaidi, nimepata point nyingi za kunisaidia mkuu

Tulia umstudy mkuu utaelewa kitu,hongera kwa kuijali ndoa yako
 
Hivi watu huwa mnajiuliza kabla ya kuweka threads JF?

Habari za mkeo kupenda au kutopenda tangazo zinatuhusu nini sisi?

Unashindwa kumuuliza?

Mkuu umeoa? Soma tena uone mantiki ya thread! Kama haikusaidii jipitie kimyakimya mkuu, hunijui na mimi sikujui, waache wanaoshauri waendelee, imeshanisaia sana mpaka hapa, samahani lakini kama hujanielewa, inawezekana wewe uko smart zaidi, tuache wenye matatizo tusaidiane!
 
Nimesoma zaidi ya mara moja haya uliyoyaandika...

Nimetafakari na ndio maana nami nikaandika hayo niliyoyaandika...

Mwanaume na mume wa kweli hawezi kuja jukwaani na hoja au lalamiko kama lako (kama lina ukweli)...

Unataka mkeo alipende tangazo hilo ili iweje?

Kila mtu ana hiari ya kuwaza, kusema na kuandika anachoona ni sahihi ili mradi avunji sheria za nchi, wewe na mimi tunatekeleza uhuru wa kujieleza, kama kwako uzi huu ni pumba ushajieleza, ila nawashukuru wote waliotoa mawazo ya kusaidia na hata wewe unaoona huu uzi ni pumba. Nimejifunza kwako pia. Ahsante
 
Nimejifunza hata mpendaneje lazima muendelee kuchunguzana, na haitawezekana kumpenda mtu bila kumuonea wivu na kuendelea kumchunguza kama anakupenda. thread imeniongezea njia nyingine ya kumchunguza mpenzi wangu, nasubiri kwa hamu hilo Tangazo na nitamwangalia mwenzangu nione kama nitang'amua kitu......asante JF
 
Yaani tukiwa tunaangalia wote TV likitokea Tangazo hili mara amwite mtoto, mara simu, ni kujifaragua tuuuu.sijui ni kwa nini? Sijui nifanyeje alipende hili Tangazo!

dogo acha wivu alipende ili iweje? Hata mm sikipendi icho kitangazo ishiiiii!
 
mbona hata mi silipendi.... ni kawaida tu labda tangazo limeigizwa vibaya au halina mvuto kwa nini alipende.
 
Mkuu naanza kuogopa, nimemsimulia rafiki yangu kasema hiyo kazi ndogo sana, ana washkaji wake huko Kikosi Cha kuondoa Maovu na kwenye providers wa simu tufanye upekenyuzi, ila mambo ya magazeti na familia yangu aisee nahisi kuchanganyikiwa!!! Ila inawezekana kuna kajizi sehemu...inabidi niende hatua zaidi, ila sio hao majamaa wa kikosi cha Ondoa maovu!

Acha kbs hbr za magazet ni kuaibishana kama unataka kujiridhisha kwann ucfwatilie mwenyew ili utakachobain iwe siri yako
 
Back
Top Bottom