Mke wangu hajui kupika wali

Kwani we mikono huna?? Eboh!!kabla ya kumuoa ulikuwa hujui hilo? Mlikutana siku ya ndoa kanisani?? Huna mdomo wa kumwambia hadi uje umtangazie hapa?? Huyo ni mkeo au hawara??? Umemchoka?;???? Wanaume wengine bwana..!!!!
 
Umeoa mwanamke aliyekulia uzunguni ulitegemea nini........ Sisi waswahili wote tunajua kupika
 
mnunulie rice cooker then uwe unamkadililia akipika roho una mkadilia na kipomo cha maji anachotakiwa kutumia hutakula mabokoboko Tena ....naimani mboga atakuwa anajua kupika vizuri tu
 
Dah,wali ulivyomtamu vile mkeo hawez kupika? kwel unakosa utamu mwingi sana
 
Hii nayo unataka ushauri.... Pika mwenyew au nenda kwa mama ntilie
 
Mfundishe kupika
 
Beki tatu umuweke ndani kisa wife hajui kupika wali au kisa yeye ndo anaweza kupika wali ahaha we ni mnyakyusa au ni mtu wa pwani mpenda wali. usijaribu kufanya hivyo kwanza wewe mwenyewe ulitakiwa ujue kuupika huo wali halafu, wife anapotaka kupika uwe naye karibu ili umuelekeze unapoona amekosea au hajafanya vizuri sasa huenda na ww hauko vizuri, muite mama mzazi si anajua kupika wali mualike aje nyumbani atamsaidia mkeo pale ambapo atakuwa amekosea, au mlipie wife wako mafunzo ya mapishi ikiwemo na wali.
 
Nilijua kupika kwa mbinde sana kwanza mtihani mkubwa ni wali na ugali, nlichoka kula hotelini ila ilinilazimu kulazimisha kujua kupika, dada zangu walikuwa karibu sana na mm kunielekeza, sasa mara nyingi kama mnapikia kwenye mkaa ndio labda unampa changamoto kupika, ila mimi napikia jiko la gesi au jiko la mchina ndio naweza kwenye mkaa siwezi ku control huo moto. wanaume tujifunze kupika ili tuwasaidie wake zetu pale ambapo tunaona wameshindwa tuelekezane sio kutaka watu wa nje watusaidie watatusema nje huko kuwa hatuwezi, ujue mkeo hata siku moja asingeweza kupika wali ambao atakula huyo housegirl maana anajua atamsema huko nje kuwua hajui kupika.
 
Inavyoelekea unapenda zaidi wali kuliko papuch mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…