Mke wangu hafanyi kazi!

Mode of the topic imetumika kama mfano tuu
 
Nikajua umekitoa BAKITA
 
Kwa mujibu wa sensa ile mama wanyumba hahesabiki kama amefanya kazí ikiwa haijaingiza kipato katika familia...Ila housegirl anahesabka amefanya kazi kwakuwa analipwa mshahara....ova[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…