Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

Nikweli wamekumbuka shuka kumekucha lkn kufanya kosa sio kosa kosa kurudia.Hivyo basi niangalizo kwa wapendanao Dini ni kitu cha kwanza kuangaliwa kabla ya ndoa.
 
kwanza kosa ni kuamini kuwa wewe unasauti kuliko mkeo na ndio upuuzi wa Sisi wanaume. Kila mtu ana uhuru wa kumfanya mtoto aamini kipi ni sahihi na kipi si sahihi...kuwakataza watoto wasifuate kile usichokiamini wewe ni Upuuzi na Ujinga... Wewe wafundishe na yeye awafundishe then watakapo kua watu wazima watajua ni wapi waelekee

ibra hauko sahihi kwa hili
 
Kama hamna mahusiano mazuri mtoto/watoto lazima watasali dini ya mama

Jiulize ni lini uliwaandaa watoto kwenda nao msikitini/kanisani

Au una subiri mwanake huyu ambae sio dini yako ndio awaandae na kuwapeleka katika dini yako!!!!!
 
Ungesema wewe ni dini gani na mke dini gani isijekuwa wewe ni ile dini ya kujilipua na kukata watu vichwa.
Bora ya hiyo!! Kuliko ile ambayo watoto wanalawitiwa na viongizi wa dini hiyo, halafu imeruhusu wanaume waolewe.
 
Yani mtoto akae tumboni mwangu miezi tisa, niende leba nimzae kwa maumivu ya kutaka kunitoa roho, then uje unipangie jinsi yakulea tena kwa mkwara wa kutaka kunifukuza? U MUST BE JOKING
 
Yani mtoto akae tumboni mwangu miezi tisa, niende leba nimzae kwa maumivu ya kutaka kunitoa roho, then uje unipangie jinsi yakulea tena kwa mkwara wa kutaka kunifukuza? U MUST BE JOKING

Haya endelea kukumbuka huo uchungu na hongera kwa kua single mother
 
Wapi meandikwa mtoto asifuate dini ya mama??? Hujawahi kuona watoto wanne au watatu kati yao kuna ambao wanakuwa katika dini ya mama na wengine dini ya baba!!??

Hayo yanaleta mambo kama ya yule kijana waki Tz aliyekamatwa Garisa. Kumbukeni mama alimng"ang"aniza kwenye imani yake na hata baba alipotaka waende ktk imani yake aligoma. Yaliomtokea sirudii kusimulia
 
kwanza kosa ni kuamini kuwa wewe unasauti kuliko mkeo na ndio upuuzi wa Sisi wanaume. Kila mtu ana uhuru wa kumfanya mtoto aamini kipi ni sahihi na kipi si sahihi...kuwakataza watoto wasifuate kile usichokiamini wewe ni Upuuzi na Ujinga... Wewe wafundishe na yeye awafundishe then watakapo kua watu wazima watajua ni wapi waelekee[/QUOTE

Yaani unamhauir yeye na mkewe washindane kuwashawishi watoto na atakaeshinda watoto wamfuate. Ndio madhara ya kuchanganya ndoa na siasa.

Binadamu hawakuzuka tu kuna aliyewaumba nakuwawekea misingi ya kuishi hadi kifo.
 
usitake kuvunja ndoa za watu... Mkemia amesemea waliowahi kwenda kufanya vipimo

Sina nia yoyote ya kuvunja ndoa ya mtu but we have to accept the reality.

According to the explanation from the victim, find the probability that the victims kids falls on 51% and not 49%.

Ni matumizi sahihi ya common sense tu mkuu ibra87
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom