likassikeshabani
Member
- Dec 22, 2015
- 14
- 3
Nikweli wamekumbuka shuka kumekucha lkn kufanya kosa sio kosa kosa kurudia.Hivyo basi niangalizo kwa wapendanao Dini ni kitu cha kwanza kuangaliwa kabla ya ndoa.
kwanza kosa ni kuamini kuwa wewe unasauti kuliko mkeo na ndio upuuzi wa Sisi wanaume. Kila mtu ana uhuru wa kumfanya mtoto aamini kipi ni sahihi na kipi si sahihi...kuwakataza watoto wasifuate kile usichokiamini wewe ni Upuuzi na Ujinga... Wewe wafundishe na yeye awafundishe then watakapo kua watu wazima watajua ni wapi waelekee
Taja dini zenyewe.....
usitake kuvunja ndoa za watu... Mkemia amesemea waliowahi kwenda kufanya vipimo
Bora ya hiyo!! Kuliko ile ambayo watoto wanalawitiwa na viongizi wa dini hiyo, halafu imeruhusu wanaume waolewe.Ungesema wewe ni dini gani na mke dini gani isijekuwa wewe ni ile dini ya kujilipua na kukata watu vichwa.
Yani mtoto akae tumboni mwangu miezi tisa, niende leba nimzae kwa maumivu ya kutaka kunitoa roho, then uje unipangie jinsi yakulea tena kwa mkwara wa kutaka kunifukuza? U MUST BE JOKING
sawa...Ni hizi zilizoletwa na watu wasio Waafrica.
Haya endelea kukumbuka huo uchungu na hongera kwa kua single mother
kilichokufanya uhisi mimi ni single mother ni nini?
Wapi meandikwa mtoto asifuate dini ya mama??? Hujawahi kuona watoto wanne au watatu kati yao kuna ambao wanakuwa katika dini ya mama na wengine dini ya baba!!??
sio tatizo ni ujinga tuHilo ndio tatizo la Dini tofauti.
kwanza kosa ni kuamini kuwa wewe unasauti kuliko mkeo na ndio upuuzi wa Sisi wanaume. Kila mtu ana uhuru wa kumfanya mtoto aamini kipi ni sahihi na kipi si sahihi...kuwakataza watoto wasifuate kile usichokiamini wewe ni Upuuzi na Ujinga... Wewe wafundishe na yeye awafundishe then watakapo kua watu wazima watajua ni wapi waelekee[/QUOTE
Yaani unamhauir yeye na mkewe washindane kuwashawishi watoto na atakaeshinda watoto wamfuate. Ndio madhara ya kuchanganya ndoa na siasa.
Binadamu hawakuzuka tu kuna aliyewaumba nakuwawekea misingi ya kuishi hadi kifo.
usitake kuvunja ndoa za watu... Mkemia amesemea waliowahi kwenda kufanya vipimo
ibra hauko sahihi kwa hili