Mke wangu anataka nimsujudu kila akitoka kazini anataka niwe nampokea mkoba, ndoa yangu iko matatani

Tafuta kipato mkuu. Mfuko ukipungua uzito ndio sababu hizo.. Mama kawa baba mwenye nyumba.
 
Kama kufua mkuu
Mkuu kwani kufua ni kazi ya kike mm nilidhani anakunyima NDOA hayo mengine yote ni ya kusaidia kupika kudeki kufua hasa chupi zake akirudi hakikisha chakula kina kuwa mezani na unahakikisha unafua chupi zake haraka hasa kama mtakuwa manaishi Dar maana kuna joto.
 
Ungepitia Jando ungeelewa maana ya kuwa mume, ni heri akunyime K kuliko haya usemayo!
Bure kabisa wewe, tutakusemea kwa Dr Shika..
 
Mke wako ndio mpokee tu hakuna shida ikiwezekana um bandikie maji ya kukoga na umwogeshe hakuna shida
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu


Toka nianze maisha ya uchumba mimi na mke wangu sasa ni miaka ya pata 4 lakin toka tuoane ni miaka miwili sasa na hatujabahatika kupata mtoto hata mmoja


Zaman nilikuwa naish vyema sana na mke wangu yaan hakuwa na kibur kama ilivyo sasa

Hali imebadilika sana nikiwa naongea na mke wangu yaan huwa anaongea kwa ukali ukali tu wakati mimi naongea saut ya chin

Anakuwa ana nifokea hata mbele ya watu bila huruma

Kila mda ana dai kachoka

Kila akitoka kazin anataka mimi ndo nimpokee mkoba wake, kazid sasa nisipo upokea anatupa chin anataka mimi ndo niingie nao ndan

Nataabika sana kwakweli jaman

Kuna baadh ya kaz za kike mimi ndo anakuwa ana nishurutisha kuzifanya

Wakati kipind mimi nikiwa na kaz alikuwa hanifanyii yote haya sasa baada ya mimi kusimamishwa kaz ndo amekuwa mwiba kwangu jaman

Kitu ninachopata bila usumbufu ni papuch pekee yaan yenyewe tena ikibid kila siku


Naomben ushaur wenu


LONDON BABY

Malizia Hasira zote apo itachape mpka Iwe Nyekundu kama damuuuuu
 
Acha kuleta story za kike huku kijana kama umekubali kuwa mume bwege pambana na hali yako tuu.
 
na wew ukishajua muda wake c uingie bafuni, ukiongeleshe na simu, ulale au uwe unatoka 10minutes before yeye kuja

embu muonyeshe mahaba na wew ukiona anagomba unganisheni midomo mkissssssssssss
 
Back
Top Bottom