Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,945
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,
Toka nianze maisha ya uchumba mimi na mke wangu sasa ni miaka ya pata 4 lakini toka tuoane ni miaka miwili sasa na hatujabahatika kupata mtoto hata mmoja.
Zamani nilikuwa naishi vyema sana na mke wangu yaani hakuwa na kiburi kama ilivyo sasa, hali imebadilika sana nikiwa naongea na mke wangu yaani huwa anaongea kwa ukali ukali tu wakati mimi naongea sauti ya chini.
Anakuwa ananifokea hata mbele ya watu bila huruma, kila mda ana dai kachoka ila akitoka kazini anataka mimi ndo nimpokee mkoba wake, kazidi sasa nisipo pokea anatupa chini anataka mimi ndo niingie nao ndani.
Nataabika sana kwakweli jamani, kuna baadhi ya kazi za kike mimi ndo anakuwa ana nishurutisha kuzifanya.
Wakati kipindi mimi nikiwa na kazi alikuwa hanifanyii yote haya sasa baada ya mimi kusimamishwa kazi ndo amekuwa mwiba kwangu jamani, kitu ninachopata bila usumbufu ni papuchi pekee yaani yenyewe tena ikibidi kila siku.
Naombeni ushauri wenu
LONDON BABY