amoneyazan
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 698
- 473
Kwani hata kukata gogo hua mnaenda pamoja?Kwenye ndoa hakuna privacy! Privacy kwenye ndoa ni dalili ya kukosa uaminifu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba yakewanawake wana kero sana bora ht niongee humu lbd asira zng zitaisha.huyu wangu kila nikishika sim anaanza kuchungulia nafanya nn?!cha ajab yy mi simfwatilii na yuko biz na sim 24hrs ajab nikishika yng tu anaacha kutumia yk anaanza kuchungulia.mara ukirud aanze kuchungulia boxer km umegeuza aanze la kusema.amekaa kisharishari kila mda hd nafkiria ht nimtoroke
Sent using Jamii Forums mobile app
tubadilishane na ya dadaakoNipe namba yake
sent from my iPhone 6
HATA KWA DAWA...UKIMPA BASI WEWE ZUZU NA MJINGA KABISA...Ila nawe usiombe zake...Za asubuhi wanajamii, Mimi ni mzima wa afya, Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha kushangaza tokea wiki iliopita mke wangu amekua akidai account nina mambo mengi sana na anataka nimpe password aniasidie kuisafisha. Mimi sina chohote ninachomfichaga but sipendi kushare account password na mtu yeyote, sasa imekuwa ugomvi tuu. Naomba ushauri nifanyeje? NB; Lugha chafu hazikubaliki ni ushauri tuu naomba. Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hayo ni maoni yako pia.Hakuna kinachotakiwa kuwa faragha mkishaoana, faragha ni nyote wawili. Kama mnaonana na kuingiliana uchi then faragha ije iwe social media account! Bank account!! Si ndo mwanzo wa kutoaminiana na kutayarisha kuvunjika ndoa huko baadae.
Sasa sijui anaogopa nini?mpe si ni mkeo