Mke wangu anataka account password yangu ya fb

Uyo sio mtu yeyote ni mkeo na mumeshakua kitu kimoja ndo maana mnatumia shuka moja na ndio maana mnaunganisha vikojoleo matokeo mnapata watoto ....mpe password acha blah blah...shubaaamiiiiiiit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mke kiboko, badala aombe password ya bank anaomba ya fb, mbombo jillipo [emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️
 
Si umpe

Hupendi kushare password na mtu yeyote yule! Sasa huyo si mkeo[emoji15] mwili mmoja! unakuaje na malengo ya pembeni tofauti na mkeo[emoji15]
Wewe sio mume mwaminifu wewe.
 
Hakuna haja ya kumpa
nyie ni mwili mmoja ila kuna mambo yanatakiwa kuwa faragha ya mtu binafsi kama a/c za social media, bank n.k
Ila kama unaona ni sawa mpe tu
Hakuna kinachotakiwa kuwa faragha mkishaoana, faragha ni nyote wawili. Kama mnaonana na kuingiliana uchi then faragha ije iwe social media account! Bank account!! Si ndo mwanzo wa kutoaminiana na kutayarisha kuvunjika ndoa huko baadae.
 



ahahhahahahahahahhahahaa hii kali sasa jaman! we mwambie kwa upole anachofanya kinakukera! mie zaman nilikua napiga simu kwa WEMA nauliza uko wapi?(naanza na hilo neno) akanisema weeeee tena kakasirika hatak kuulizwa 'upo wapi' toka hapooo!napiga ikiita naeleza njoo na kitu fulan! easy tu!mwambie hupendi!....! kwakwel sijui na siwez fatilia mume mm aic
 
Ndio zao hizo,lengo ni kutaka kukuonyesha kuwa yeye ni mtakatifu sana.
 
Una roho ya paka sana aiseee, mie siwezi kuishi hivo na mwanamke
 
Chief kama ni swala la pasword tu si umpatie tu shemejiiiiii???au kama kuna agenda nyingine inayoendelea ni vyema ukawa muwazi
 
Usimpe chochote atakachofanya TCRA watakukamata. Mda mkiwa pamoja fungua aingie aperuzi Kisha logout
 
Huyo mkeo naye itakuwa anataka kukufukulia makaburi. Teh teh teh.

Ila maamuzi ni yako na wewe ndio unajua mziki wa mkeo pindi utakapomwambia hutampa ukoje.
 
Mumy ukiona jambo jepesi kama hilo mtu anakuja kutaka ushauri huku jua hana dalili ya kumpa zaidi anatafuta uongo wa kumdanganya ili asimpe.



hahahahah lakinkwann aitake?mie nahis italeta machafuko tupu!ukimchunguza sana bata....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…