chimera
Member
- Feb 9, 2013
- 31
- 37
Za asubuhi wanajamii,
Mimi ni mzima wa afya,
Naomba niende direct kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana nimeoa ka mwaka sasa umepita, tunaishi kwa furaha na amani tele but cha kushangaza tokea wiki iliopita mke wangu amekua akidai account nina mambo mengi sana na anataka nimpe password aniasidie kuisafisha.
Mimi sina chohote ninachomfichaga but sipendi kushare account password na mtu yeyote, sasa imekuwa ugomvi tuu.
Naomba ushauri nifanyeje?
NB; Lugha chafu hazikubaliki ni ushauri tuu naomba.
Sent using Jamii Forums mobile app

za mtu hata akiwa kwenye ndoa