Mke wangu anashindwa kunimudu

Umeenda jando kweli wewe, yaani unatoa siri ya chumbani na mke wako, nadhani kuna chembe chembe za kiume umezikosa
 
Weka namba yake ya simu hapa.
 
Upumbavu mtupuuu
 
Oa mke wa pili utakuwa umemaliza tatizo haraka
 
Aliyeoa hana akili za kipimbi kama hizi.
 
Je umeongea nae ili kubaini tatizo??! Isiwe ni wewe au yeye ndie ana tatizo?!
Kijana ndoa ndoano nikimaanisha mkeo hufanyi nae sex bali you have to make love to her, usitake uonayo mtandaoni ukapractise kwa wife, hapo utafeli mkuu, na nikukumbushe tatizo la wawili huanza kujadiliwa na wawili pale wanaposhindwa kutatua ndipo unafungua mlango wa ushsuri nasaha
NB: Mkuu nakushauri usijisifie kwenye sekta ya sex, wanawake ni viumbe wa ajabu sana akiwepo na mkeo
 
Wewe huwa unamkuta wameshakojozwa mchana na kuchoka sana, lazima ashindwe

Sababu ya pili au kuthibiti hali yako wapo wataalam wanaweza kukupunguza kiaaaaasi kidogo wewe wapo humu Jf ila usiwe mkali na hasira toa jicho nguvu zitarekebishwa. Ni ushauri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…