Mke wangu anashindwa kunimudu

Mashine yake imepitisha mtoto ndo wewe akushindwe kukumudu? Dogo ukitaka kuchepuka usitafute huruma za wachangiaji humu
 
Mleta mada wewe ni Mvulana.
 

Du black anajimwambafy tu. Mi juzi nimechukua baamedi fulani kwenye gesti fulani. Sikuwa na mudi kabisa lakini kaniharakisha mara nawahi kwenye sherehe sijui nini. Kila unapomshika hataki na denda kakataa. Matokeo yake "'mzee' akakataa kabisa. Pamoja na kuwa na tako lakini alikuwa na bonge ya mshono tumboni' thus even more disgusting....
 
Acha kumweka mikao ambayo unajua atafika kileleni kabla wewe haujaridhika.
 

Ki ujumla hayo uliyoyataja si kwamba ndiyo mahitaji muhimu ya mwanamke. Upendo na kumjali ni vitu vya muhimu kuliko uyasemayo.
Sasa kwanini kukomoana? Kuku ni wako manati ya nini?
 
hauna tofaut
hauna tofauti na mm kindoa mtoto, na sita kwa sita, muhimu kuweka maendeo kitu cha msingi
 
Bwana mdogo Pm kukinona wengine nipunguzie mimi kwani pia nina tatizo hilo hilo [emoji16]
 
Ki ujumla hayo uliyoyataja si kwamba ndiyo mahitaji muhimu ya mwanamke. Upendo na kumjali ni vitu vya muhimu kuliko uyasemayo.
Sasa kwanini kukomoana? Kuku ni wako manati ya nini?
sijaona mapungufu kwenye kumjali na kumpenda mke wangu... Na hua simkomoi mana hii kitu kiu inatofautiana wee kama unakunywa kikombe kimoja wengine tumezoea jagi zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…