Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

umemdekeza kazi kubwa na inayojenga ndoa ni kugegedana sasa masharti mara uckojolee ndani .
 
Habari za Pasaka aisee?
Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja.

Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekua kwenye mahusiano na mke wangu kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya uchumba wetu uliodumu kwa miaka minne, kwa kipindi chote cha uchumba wetu hakukua na hii shida.

Mke wangu siku hizi tukiwa tunasex hataki nimkojelee kabisa anataka nichomoe mashine na nimwage nje, na bao napewa kamoja aisee hakuna zaidi, mara moja moja huwa naotea bao mbili mpk ajisikie mwenyewe lakini.

Iwapo nitathubutu kumkojolea , anachukia sana siku nzima atakununia na kinachofuata ni kunyimwa sex ata kwa wiki nzima na wife nilishamweleza kistaarabu kabisa kwamba aninyime vyote lakini sex hapana maana hapo ndiyo kuna furaha yangu lakini habadiliki.

Sometime natamani ata nijipigie beki tatu ili nipunguze uchungu lakini nikimcheki huyu dogo anaonekana bado sana hata vichuchu vinaonyesha hajui kitu isitoshe kana aibu sana na kananiheshimu vya kutosha aiseeeeeeee nimechoka ata kuendelea kutyp lakini inaniuma sanaaaa

Jamani ebu tuambizane nyie pia kwenye ndoa zenu kuna hizi taratibu za kuzuiliwa kukojeleana?

We kweli ni zero brain
 
Sex is something very sweet to both women and men. Naweza kuthubutu kusema "It might be even sweeter to women. As they have more than one pleasure point while men have only one"

Sasa basi ukiona mmojawapo wenu hataki sex, basi ni wazi hapati ile raha. Maana yake kama anapata basi sex ni kitu hawezi resist! Kabisa! We inakuwaje hapahapa usome uzi wa mwenzio analiliwa na mwanamke wake akampe mambo huku wewe unanyimwa???

My Brother tafuta namna utamkaza my wife wako hadi aseme kwa lugha mbalimbali acha kufanya mchezo. Kuna wana wakikushikia huna mke.

- Kuhusu kumwaga ndani, maybe anaona unamchafua tu. Ama anaogopa kupata mimba tena - which is surprising as mnatakiwa kuwa na plan za uzazi by now.

Mimi siamini kama mkeo anaenjoy sex halafu akatae. Another approach ni labda ana tatizo la kiafya ama psychological trauma hasa baada ya uzazi. Mchunguze vizuri.

Pia unaweza consider the wild option ya yeye kupata raha kwengine?
Mkuu we ni mwanamke? Or are you married? Samahani lakini...

If not, then nashawishika kusema huwajui wanawake, hizi theories zako zinakupa wrong generalization
 
Mmh kweli ndoa zipo tofaut sna

Mm mke wangu yeye ndo kla sku anataka mambo siku nikiwa off home napiga game siku mzima

Yaan kuhusu kumkojolea nje hatak kabisa hio kitu kwan yale madude yakiingia ktk k yana raha yake
Angalia isije kuwa ulioa changudoa samahani lkn
ni maoni tu
 
Mwanaume mbona unawadhalilisha wanaume wenzio mkeo anakwambia hataki kukojolewa ndani na hataki sex hilo la kuhusu beki tatu achana na hilo wazo mkuu

Kaa na mkeo chini ongea nae nini tatizo kwa nini anakunyima sex je ukichepuka atajisikiaje ukiona haelewi tafuta mchepuko uwe unakupa show tu ukirudi mwepesi unamwacha aendelee kulala tu
 
Mkuu we ni mwanamke? Or are you married? Samahani lakini...

If not, then nashawishika kusema huwajui wanawake, hizi theories zako zinakupa wrong generalization

Mwanamke Anaenjoy sex, Hana mchepuko wala hana any medical Problem akatae sex?

Please Listen to youself! Hebu soma post za wanawake humu jinsi wanavyosifia sex kisha uje uniambie wawadengulie wenzi wao.

Mwanamke Kama hana tatizo la Medical/Psychological, kisha hana mchepuko na Anakazwa aenjoy vizuri hawezi kataa sex brother!

Ukiona hivyo hakazwi sawasawa....Na siku huyo mwanamke atakuja pata mchepuko umkaze vizuri utaona shughuli yake. Uliza wanawake wenyewe wakuambie over 90% ya sababu za kuendelea kuchepuka kwa wanawake ni kukazwa vizuri na michepuko hiyo. Na mwanamke akichepuka wala haendi mbali- anachagua katika wanaume waliowahi kumkaza vizuri hapo mwanzo.
 
Ndugu yangu hujaoa kaa kimya hujui lolote, wewe unaongelea mizuka ya boy friend na girl friend tu, hujui lolote stage hii ikipita na mkawa na status inayoitwa ndoa mambo yakoje ndani ya nyumba, kaa kimya brother.

Moja ya sababu ya wanaume kuwa na nyumba ndogo ni kero za ndoa, na hata nyumba ndogo ukiipromote iwe nyumba kubwa tatizo linarudi palepale.

Unajuwa shida iko wapi? Sintokwambia shida iko wapi ila nenda makanisa ya kiroho wakati wa maombi na kutowa mapema ndio utapata jibu mapepo hifadhi yao na maskani yao ni nyumbani kwa binadamu wa jinsia gani. Kama una akili timamu umeshajuwa tatizo ni nini, hakuna binadamu yoyote wa kawaida anayeweza kumcontrol mwanamke mwenye mapepo kichwani ambayo kimsingi ndio yanamuongoza ila wengi bado hawajalibaini hili au hawataki kuukubali ukweli huu.
 
Kazi kweli kweli..kumbe shida ni hataki kulala na utelezi, sio kuhusu kutotaka ujauzito kwa sasa.

Mh hapa mentor inanibidi kurudi shule tena..ushauri kwishney.

Ila mkuu ngoja nijaribu hii ya mwisho;
Kabla hujaanza kuendekeza hayo mawazo ya beki na kuchepuka hebu jaribu hii. Wikiendi moja hata ikiwezekana mkaomba karuhusa kazini Ijumaa..muondoke pamoja muende sehemu tulivu, get a room ambayo mtahudumiwa milo yote, yaani asifanye shughuli yeyote. Hiyo Ijumaa usizungumze chochote kizito. Kama mmenda mbugani basi mshinde kucheki wanyama tu ama kama ni hoteli tu ya kitalii basi mmeshinda ndani aidha mnacheza game ama mnaangalia movies. Vyovyote vile hakikisha hamfanyi kazi ngumu. Jioni baada ya msosi, fanya shughuli pendwa kisha note mabadiliko yoyote ya tabia.

Vyovyote vile atakavyofanya - kukupa ushirikiano bila masharti, kukupa masharti, kukupa game zaidi ya moja - vyovyote atakavyofanya usiku huo, wenye fanya kuchukua notes tu.

Kesho yake baada ya chai, mkae chini mzungumze kutokana na yaliyotokea usiku. Usiongee kwa kubembeleza lakini pia usiongee kibabe (be balanced..objective..ajue upo serious lakini). Mueleze kinachokukwaza na kwamba ungependa kujua nini hasa shida yake. Usichukulie kama ni makusudi (hata kama unaamini 100% ni makusudi..cheza na psychology yake tu). lengo lako ni kutaka mabadiliko na kurudia maisha yenu ya upendo kama zamani.

Huenda tu ameathirika kisaikolojia na unaweza kumshauri kuwaona wataalamu. Haya mambo yapo lakini ukitumia ubabe sana sana solution utakayopata ni kuchepuka tu ila ndani kwako huna amani.

Sina conclusion ya jibu lake litakuwaje, ila zungumza naye kwa kutaka kumuelewa na kuona kama mkionana na mshauri nasihi atawasaidia. Usipuuzie sana kumuona anafanya makusudi kila wakati. Mazungumzo yenu yatakusaidia sana kujua jinsi ya kusonga mbele kutoka hapo. Naamini unampenda mkeo, naye si kichaa, je ni kwa nini tabia yake imebadilika.

Ukienda kwa kumu-attack hutopata jibu..jitahidi kwenda na mentality ya kutaka kumsikiliza.
U are an excellent psychologist!!!!
Mentor
 
'kwamba aninyime vyote lakini sex hapana maana hapo ndiyo kuna furaha yangu lakini habadiliki'.Pole mkuu sio furaha yako,hapo ndio penye furaha yetu wanaume wote ndio maana huwa tunaamua kuoa ili tupate pale tunapohitaji,lakini hawa jamaa zetu wakishaingia ndani ya ndoa tu wanaanza masharti na vikwazo chungu mzima...
 
Unawai kukojoa kabla yake. Na unachelewa kurudi bao lapili. Jichunguze, sana... fanya mazoezi, kunywa maji yakutosha, na matunda na mbegu zake.
Una point kiaina. Maana kama wangekua wanafika wote kileleni, hizo nguvu za kukataa kukulojolewa zisingekwepo; Akili zingemrudia tuu anakuta K imelowa ute ute wake na wa mume wake!!!
Faru12
 
Ndugu yangu hujaoa kaa kimya hujui lolote, wewe unaongelea mizuka ya boy friend na girl friend tu, hujui lolote stage hii ikipita na mkawa na status inayoitwa ndoa mambo yakoje ndani ya nyumba, kaa kimya brother.

Moja ya sababu ya wanaume kuwa na nyumba ndogo ni kero za ndoa, na hata nyumba ndogo ukiipromote iwe nyumba kubwa tatizo linarudi palepale.

Unajuwa shida iko wapi? Sintokwambia shida iko wapi ila nenda makanisa ya kiroho wakati wa maombi na kutowa mapema ndio utapata jibu mapepo hifadhi yao na maskani yao ni nyumbani kwa binadamu wa jinsia gani. Kama una akili timamu umeshajuwa tatizo ni nini, hakuna binadamu yoyote wa kawaida anayeweza kumcontrol mwanamke mwenye mapepo kichwani ambayo kimsingi ndio yanamuongoza ila wengi bado hawajalibaini hili au hawataki kuukubali ukweli huu.

Okay, ngoja niassume your premise is right (Kwamba sijaoa na sijui matatizo ya ndoa).

Kwa hiyo unamaanisha wanawake wote walio kwenye ndoa hawapendi sex? Na kama si wote unadhani ni asilimia ngapi hawapendi na ngapi wanapenda ?(since you seem to have made a bit research on this so that you have significant experience).

Ukiacha hao wenye mapepo yanayowaelekeza kuwanyima waume zao sex. Ni wangapi wameolewa kanisani kwenu na hawaji kuripoti matatizo ya ndoa yanayohusiana na sex?

Nnavyojua (Kwa mwanamke) kuna vitu vingi vinalead up to sex atakayoenjoy, the way you treat her na maisha yenu ya ndoa kiujumla. Kama mmejitahidi kupunguza kama si kuondoa magomvi na kutofautiana. Pia kuwa na mda naye kidogo wa kusemezana kuelekea sex. Na how you perform the act. ---------(1)

Ili nyote muenjoy sex ni lazima muwe na afya nzuri. Hapo unajua fika wanaoongoza kwa afya mbaya(DSM being the case in study) ni wanandoa. Kwa nini? Kwasababu ya majukumu na mihangaiko ya maisha. Ila kubwa ni kutokufanya mazoezi na kula vizuri. ------(2)

Kama 1 imezingatiwa na 2 haina shida, nijibu maswali yangu na unielemishe itakuja kunisaidia mimi na wengine ni kwanini iwe hivyo????
 
Ndugu yangu hujaoa kaa kimya hujui lolote, wewe unaongelea mizuka ya boy friend na girl friend tu, hujui lolote stage hii ikipita na mkawa na status inayoitwa ndoa mambo yakoje ndani ya nyumba, kaa kimya brother.

Moja ya sababu ya wanaume kuwa na nyumba ndogo ni kero za ndoa, na hata nyumba ndogo ukiipromote iwe nyumba kubwa tatizo linarudi palepale.

Unajuwa shida iko wapi? Sintokwambia shida iko wapi ila nenda makanisa ya kiroho wakati wa maombi na kutowa mapema ndio utapata jibu mapepo hifadhi yao na maskani yao ni nyumbani kwa binadamu wa jinsia gani. Kama una akili timamu umeshajuwa tatizo ni nini, hakuna binadamu yoyote wa kawaida anayeweza kumcontrol mwanamke mwenye mapepo kichwani ambayo kimsingi ndio yanamuongoza ila wengi bado hawajalibaini hili au hawataki kuukubali ukweli huu.
Uko sahihi sana Matola ,hili ni janga kwenye ndoa nyingi na wengi hawalitambui,wakitaka kulijua hili wafuatilie shuhuda zinazotolewa na na wanawake wenye mapepo kwenye TV kama vile Emmanuel TV ndio watakubaliana na wewe,hata wewe PetCash haya unayoongea nina uhakika unazungumzia nadharia sidhani kama kuna alieko kwenye ndoa atakuunga mkono..
 
Wewe mwenyewe ndiyo uliyemzoesha unatakiwa kama mwanaume uwe na msimamo amka huo usingizi uliolala mwisho hata hilo bao moja utakuwa hupewi
 
Back
Top Bottom