Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 521
- 1,875
Punguza kumvizia mkeo kaka ndoa itakushinda. Acha kabisa hiyo tabia ya kutega madirishani ili usikilize anaongea na nani? au kusoma msg zake kwenye simu..!Na pia wakati anaongea na huyo mwanaume
Wewe muweke uchochorini Ili muende sawa.Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda kabisa aisee
Hivi inakuaje mke wako anamtumia picha zake mwanaume mwingine? Hata akiwa kaka yake ni.sahihi kumtumia picha zake? Na pia wakati anaongea na huyo mwanaume au huyo anayemsema kaka yake anamwambia kwamba maisha ni mafupi kama mwanaume akinichoka aache niende zangu aisseee nimechoka kabisa wakuu
Na binti alikuwa msabato na mimi
New billionaire in town dini nyingine lakini yeye kutwa kupiga nyimbo za kisabato tu na wakati wa kulala lazima asome sala za kisabato wtf inanikera sana
Nahisi huyu moyo wake willing bado anaiwaza usabato wake tu hakuwa willing kubadilisha dini ila sasa kabla sijaenda kumuona alikubali kubadilisha dini;
huyo anayemsema kaka yake anamwambia kwamba maisha ni mafupi kama mwanaume akinichoka aache niende zangu aisseee nimechoka kabisa wakuu
KabisaHii ndoa haitoboi kufika mwakani mwezi wapili [emoji3][emoji3][emoji3] pole saana mkuu
Wapi ameandika walikula kiapo kanisani au mimi ndio sioni[emoji3064][emoji848]C ulikulaa naye kiapo kanisan kwambaa kifo ndio kitawatenganisha na c maongezi ya kwenyee cm !!!!
Embu tulienee mwendelee kuheshimu viapo ..
Kataa NDOAA
Wako wengi si unajua wasukuma?Kaka..?? 🤔 mkuu kwani hukuwatambua nduguze kabla ya kuoa....? Ndoa sio drama jamani embu mtu akioa au akiolewa aelewe kua anaingia stage nyingine na upuuzi wote aache huko nyuma.