Mke wangu ananiumiza kichwa

Kama mwanamume lazima uhakikishe mkeo anakuwa Na discipline!
Kwa diplomasia au hata udikteta!!
Mkanye mkeo mkuu, asipokusikiliza wewe huyo hafai kuwa mke!!!
 
Pole sana.Watu sio waaminifu.
 
Wewe tatizo lako la kwanza umeoa mwanamke mjinga anayefanya ushenzi huo halafu anasahau na kukupa password.

Kwa sasa kubali matokeo tu.

Pia umeambiwa kutengeneza access ya account. Siyo kuingia inbox.
 
Yawezekana kabisa wala haku cheat wala nini. Ila huenda kwako ana miss hayo maneno ambayo anayapata huko face book ndio maana anaishia ku chat huko. Sijui kwanini unakuwa mwepesi kufikiria kuwa unasalitiwa. huo unaouita ujinga ndio unao matter kwa wapendanao.
 
Ku cheat si lazima kujutana kimwili.

Ukishafanya betrayal usha cheat.

Ukifanya mawasiliano ya kimahaba bila ya mwenzako kujua usha cheat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…