Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 448
tatizo wewe Mwana Mnyonge sana
Ana umri gani? Kama yuko kwenye 30's na kuendelea inawezekana ni menopause ndo inaanza....
Na huo ni mwanzo tuu....itafika kipindi mtamaliza hospitali zote na ugonjwa hauonekani.......!
.......30's menopause?
Ana umri gani? Kama yuko kwenye 30's na kuendelea inawezekana ni menopause ndo inaanza....
Na huo ni mwanzo tuu....itafika kipindi mtamaliza hospitali zote na ugonjwa hauonekani.......!
.......Jamani poleee! Kuna kitu kinamsumbua,haiwezekani awe na hasira bila sababu. We chunguza utagundua tatizo.
Ushatengenezwa na umetengenezeka!
Habari za usiku ndugu zangu ,
Mke wangu anapenda sana kukasirika bila sababu za msingi ,hivi hii inaweza sababishwa na kitu gani ,nimekuwa namshauri kila siku kubadilika kuacha kuwa na hasira haelewi nisaidieni ndugu zangu kuna kipindi nawaza labda kuna mtu anampa kiburi,na labda ni mjamzito lakini hakuna,naampa kila kitu kuanzia cha kula cha usiku hadi matumizi ya kwake ya muhimu,nimeamua hadi kumwabia atafute mfanya kazi wa ndani kumamsaidia kazi sababu kuna kipindi hata kupika anakuwa na hasira kwani akimaliza kupika mnakula na hakun stori inafikia kipindi sipendi apike sababu naona akipika anakasirika,Nampenda sana mke wangu lakini nateseka sana.nahitaji sana awe na furaha but kwake ni tatizo
wifi yangu alivyoolewa alikua na tabia kama hiyo you know what we did ALIKUA AKINUNA TUNAPIGA STORY PALE LIKE HELL NI KUCHEKA TU,,ALIBADILIKA MAZEE ALIONA HAMNA MTU ANAMPA ATTENTION HATA KAKA YANGU AKARUDI AKAWA BINADAMU.
HUYO MKEO ANACHUKULIA FOR GRANTED UPENDO WAKO SASA plzzzzzzzzz kama kweli unahitaji msaada sikiliza hili
USIMPE ATTENTION ALIYEIZOEA NA UNAYOMZOESHA
JUST DO YOUR STAFFS MYN,enjoy with ur friends rudi home late,usimpe attention,invite ur friends kama hamna mtu mwingine hapo home,kama kuna mtoto mkubwa kiasi mchukue weekends nenda nae somewea kashinde nae uko..
nakwambia atabadilika na kuanza kufanya vitu vitakavyorudisha attention yako kwake
ILA KAMA HUTAKI USHAURI
ENDELEA KULEA KIDONDA BILA KUKITIBU.....KITAKUA KIDONDA NDUGU MWISHO UKATWE MGUU
Kama ulikuwepo vile.Pale unaposema "Nampenda sana mke wangu" ndio penye tatizo na usipokuwa makini itakugharim sana. Hajui thamani ya pendo lako kwake