Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha

Acha utoto mkuu usidanganye hujawai kupiga punyeto ni uongo asimilia 99 ya wanaume wamepitia hako ka mchezo
 
Mkuu mkeo itakua kakeketwa kabisa hao binadam hawanaga hisia kabisa nilishawai kuwa nae mmoja hawana hisia kabisaaaa
 
Ukitaka usipate makwazo kwenye ndoa jitahidi uwe na mchepuko..this is good for your health...
 
hahaaaaaa
ulimnyoosha..bado upo nae?
 
We Jamaa uko serious kweli ?? Una miaka 30 unatafuta mwanamke awe na miaka 32 ?
Enewei Kila la kheri Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…