Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha

Unaongea tu kwakuwa hujui,mimi si wa dakika 5 kama unavo sema na nisinge weza kuweka kila kitu hapa.
Kwa ufupi ni kwamba yeye ana sema haji sikii na hana hisia mimi nakuwa nahitaji kila siku hisia muda wote zipo sasa yeye hana hisia anacho niambia issue si hizo dk.5 unazo ongea mimi niko vizuri sana mambo mengine huwezi jua ikiwa kwako kuna maelewano hongera usifikirie swala hilo kuwa ni changamoto japo kweli inawasababishia watu baadhi Ila si mimi na nna uhakika % hana huyo mtu unaye mtaja muda wote yuko nyumbani napia simu yake hamna anaye tuma sms wala kupiga nna uwezo wa kushinda na simu yake na hakuna chochote nayeye hana number za simu za watu nisio wafahamu.Changamoto inayo msumbua ni kuwa hana hisia si kwamba ana mtunzia mtu hilo si kweli binafsi nna uwezo wa kwenda zaidi hata ya mara 2 kwa wakati mmoja mimi si mnyonge kiivo unavo ongea mkuu.
Mkuu mkeo itakua kakeketwa kabisa hao binadam hawanaga hisia kabisa nilishawai kuwa nae mmoja hawana hisia kabisaaaa
 
Ukitaka usipate makwazo kwenye ndoa jitahidi uwe na mchepuko..this is good for your health...
 
Na we acha kumpa matumizi, utalishaje mbuzi majani afu supu anywe mwingine. Kifupi kwa hali ivyo mara nyingi inakuwa mwanamke hakuelewi shoo zako na tayari kuna mwamba anapiga kibabe. Sasa akili ya wanawake ameshakupima akaona anakuweza kwa hiyo hakupi tunda anamtunzia jamaa ili awe anakuta mzigo haujapwaya pwaya. Huyo ukienda nae ligi atakusumbua we acha tu kumpa matumizi. Kwa upande wangu niliwahi kuwa napangiwa hadi marafiki wa kuongea nao nilipofatilia nikabaini ambao hawataki wanamjua nilichokifanya nikawaambia masela halafu nikawa nashinda home akiomba hela ya mboga namwambia sina kuna dili alinipa fulani nimeikataa, nawataja ambao hataki niwe nao karibu. Akawa anapika dagaa chukuchuku namwambia siwezi kula hzo nado kijana sana kula kisa nimekosa. Akashangaa siku 3 zinapita nipo tu sili wala sinywi nikitoka dakika 5 najiacha mama ntilie. Siku ya nne gesi ikakata nikasema ewaaa. Nikamwangalia tu. Badae nikext jamaa yangu anipitie alipofika nkamwambia sitoki. Aliposepa mwanamke ananiuliza mwenzio anakuita hutaki na unaona gesi hamna. Nikamwambia huyo umekataza mazoea nae. Mbona baada ya hapo alinyooka.
hahaaaaaa ulimnyoosha..bado upo nae?
 
We Jamaa uko serious kweli ?? Una miaka 30 unatafuta mwanamke awe na miaka 32 ?
Enewei Kila la kheri Mkuu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom