Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,340
- 8,242
Pole tunachokosea wanaume wa lika letu hili ni kutojua aina ya familia tunazoenda kuoa na historian ya wazazi(wakwe) hili linatuponza kwer Sasa apo huna chaguo Mwache Aishi kistar Maisha ya ndoa bhn ni zaidi yakukimbiza gurudumu la ndege mpka lipae iyo vita yake sio ndogoNilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Yes hatajali Kwa mudaMwanamke wa hivyo ukimpotezea kumuomba unadhani atashtuka? Ilishawahi kunikuta hiyo,nilipotezea mpk ikafika mahali nikapoteza hisia na yeye kabisa hata avue nguo zote mbele yangu hata sishtuki.
Akaanza kulalamika yeye sasa hapo ishapita miezi sita (6) tunalala tu kama dada na kaka.
Ikafika mahali akawa anataka yeye mimi mood ilishakata tena hata afanye nini mawazo yangu hayapo.
Akaanza kulalamika kuwa eeeh wameshakuloga huko nje [emoji22] nikawa naishia kutabasamu tu.
Vikaendelea vingi mpk ikafika mahali nikaaga mashindano nikaanza maisha yangu mengine.
Ukishasaidia watu wa namna hii umejipalia makaa kichwani Jiandae.
JoannaMlishaambiwa kama umeamua kumsomesha mwanamke msomeshe ufundi cherehani
Ona sasa wahuni wanakukazia
Wanawake wana ujinga sana. Kuna dogo aged 29 nilijichanganya nikamuelewa vibaya sana. Akavimba kichwa, maringo mengi k ya kupimiwa. Tunaweza kulala lodge ya 100k na K anagoma asitoe. Kuna kipindi mpaka nilikuwa namtimuaYes hatajali Kwa muda
Lkn si unaona ilifika mahali akaanza kulalamika?
Kwani alikuwa mke ,mkuu?
Yaani haya mambo bwana
🤣🤣Mm mke wangu nilichoma vyeti vyake sasa ww ndo kwanza umempeleka shule
Si unajua wenye makalio mkuu🤣wanajua hamchomoi,Wanawake wana ujinga sana. Kuna dogo aged 29 nilijichanganya nikamuelewa vibaya sana. Akavimba kichwa, maringo mengi k ya kupimiwa. Tunaweza kulala lodge ya 100k na K anagoma asitoe. Kuna kipindi mpaka nilikuwa namtimua
Yule fala kila shida ndogo nilikuwa namaliza mpaka kodi.
Nikagundua uzuri na tako ndio zinamtia jeuri. Siku moja nikamuweka kikao. Nikamchana sana. Nikamwambia mtu mwenyewe umri umeenda badala ya kuniganda unaniletea jeuri. Kisha nikamkaushia. Ikawa hata wiki inaisha bila sms wala call . Baada ya mwezi anamtuma dada yake ananiuliza una mpango gani na mdogo wangu. Tukaweka conference nikamchana vibaya sana.
Sasa hivi anajichatisha dear kibao mkuu sina time hisia zilishakata. Wanawake sometimes wana ujinga sana
KumbeHiyo ndo Hali halisi
🤣🤣
Hata tukikaza ni Ile hatutaki kuonyesha
Na Yuko jamaa mkewe fundi cherehani ,Arusha hapo!Mafundi cherehani nao ni wanadamu
Mkuu Wana wattPiga chini hiyo kenge. Hatuna muda wa kusikiliza upande wake
Jiandae kisaikolojia,kuwa tayari Kwa lolote!Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwakuwa hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yaani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kuwa nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Hakika, kikubwa wajitambue wake zetu japo sisi tunawatafutia wasaidiziNa Yuko jamaa mkewe fundi cherehani ,Arusha hapo!
Mke anasumbua balaa
Anarudi hata sa sita usiku
Kwahiyo haijalishi mtu kasoma nn,ni tabia tu ya mtu
Kwani brother wewe shida yako ni nini haswa? Yaan sasa hivi unachokitaka kwake haswa haswa ni nini maana km kumkamua nina uhakika umemkamua na kumzalisha umemzalisha watoto, sasa what happened bro nini shida? wewe ni mshindi acha kuishi kinyongeKwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Ndoa ya mabwege tu. Mwendo ni girlfriend tu - akizingua unabwaga chini-kata mti panda mti.Ndoa ni utapeli nani kawadanganya kuoa nyie watu!! Ona sasa na shule ulimpeleka MWANAMKE HASOMESHWI haijalishi ni mke au mchumba usijipe majukukumu ya mzazi wake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
Duh ni wivu kutokujiamini ama nini??
😳😳😳!Mm mke wangu nilichoma vyeti vyake sasa ww ndo kwanza umempeleka shule
Ukatili huoMm mke wangu nilichoma vyeti vyake sasa ww ndo kwanza umempeleka shule
Tayana-wog 29 yrs kwa mwanamke kweli anapaswa kuringa? Si umri unakuwa umeenda?Wanawake wana ujinga sana. Kuna dogo aged 29 nilijichanganya nikamuelewa vibaya sana. Akavimba kichwa, maringo mengi k ya kupimiwa. Tunaweza kulala lodge ya 100k na K anagoma asitoe. Kuna kipindi mpaka nilikuwa namtimua