sometimes muwe mnapunguza malalamishi hata Biblia inasema mwanamke atazaa kwa uchungu,mwanaume atakula kwa jasho sasa we pambana kiume ihudumie familia siku akiamua kwa matakwa yake kusaidia its ok,hapa ndo tunapowatofautisha wanaume na wavulana vinginevyo unatafuta kuleta mitafaruku ktk ndoa.
Hebu angalia nilichomshauri hapo juu.
Hapo ndo huwa nachoka na hawa viumbe.Halafu utakuta wanalalamika mfumo dume.Mchape mimba akae kwanza nyumbani iwe ndiyo mwisho wa kazi na heshima itarudi.Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, ngoja nilale asubuhi tutaendelea
sometimes muwe mnapunguza malalamishi hata Biblia inasema mwanamke atazaa kwa uchungu,mwanaume atakula kwa jasho sasa we pambana kiume ihudumie familia siku akiamua kwa matakwa yake kusaidia its ok,hapa ndo tunapowatofautisha wanaume na wavulana vinginevyo unatafuta kuleta mitafaruku ktk ndoa.
Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani.
Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii naomba msaada toka apate kazi amekuwa na kiburi, anataka hela yangu ndo itumike tu yakwake wala hataki isaidie.nimemuelimisha kuhusu ugumu wa maisha lakini wapi, tatizo lolote likitokea ni mm ndo wa kusolve.. P/se help
Naanza kuamini kuwa mwanamke ni kiumbe aliye mwepesi wa kusahau alikotoka.
Apana ndugu sio wote na hata wanaume vile vile japo sio wote,lakini kwenye swala la kusahau mtu alikotoka ni hulka ya mtu....Naanza kuamini kuwa mwanamke ni kiumbe aliye mwepesi wa kusahau alikotoka.
Ndugu usilalamike sana yote maisha na inataka moyo mtu kukupa sio kama wewe uliweza kumpa yeye na wakao ujue na yeye atakusaidia kimaisha fikira hiyo ondoa,tena sio yeye tuu hata mwanao ulomzaa anaweza asikusaidie,chamsingi kazana kukomaa na maisha kama mwanzao na muombe mungu kwa sana.....Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani.