Mke wangu ananibania tendo la ndoa

Mke wangu ananibania tendo la ndoa

Puli ni dhambi mkuu nafuu uchepuke tu. Mungu huwa anafumba macho. Ila mpiga puli huyo kalaaniwa moja kwa moja
 
Brother kuna kitu nimekisoma kwenye uzi wako kimenishitua harafu kikanikumbusha tukio furani hivi. Naomba nikuulize hivi mwanamke akiwa na mimba ukifanya naye mapenzi anakuwa na JOTO SANA kuliku hata akiwa hana mimba? Nimeuliza hivo kwa sababu niliwahi kusex na binti kwa mara ya kwanza yangu alikuwa na joto balaa buti ukapita mda nilipo rudia sikuona lile joto wala nini, huwa najiuliza nikitu gani kilitokea mbona kama tofauti na siku zingine
 
Mngh! watoto wote hao utawasomesha kweli na hali hii? Kazi kweli kweli
 
Sasa kama hana appetite ajilazimishe kukulwa tuu, kuwa na huruma basi, watoto wote hao bado unalalama unanyimwa!! Muone
Hata kama hana appetite kwani akikubali atakufa?

Ni heri akubali kuliko kukataa na kusababisha shida ya kukosekana kwa amani ndani ya ndoa, hatimaye mwanaume anaweza kuanza kuchepuka na kuleta shida kubwa zaidi.
 
Wanawake wengi walioolewa ndo wanasababisha waume zao wachepuke wanapoanzisha tabia ya kuwababia tendo la ndoa.
Huko nje waliotayari kuhudumia wako wengi mno, kama wewe ni mwanamke na unataka kumfundisha mumeo namna ya kuchepuka, basi anza tabia ya kumnyima tendo la ndoa.
 
Mngh! watoto wote hao utawasomesha kweli na hali hii? Kazi kweli kweli
Siku hizi uamuzi wa gharama za kusomesha watoto ni wa kila mmoja anavyojisikia, unaweza kutumia gharama kubwa na mwenzako akatumia gharama ndogo, lkn watoto wenu wote watakutana UDSM au UDOM au chuo kingine chochote.
Kwenye ajira usishangae aliyesoma kwa gharama ndogo akawa bosi wa aliyesoma kwa gharama kubwa.

Hivyo siwezi kubania watoto kisa gharama za elimu,
 
USIHARIBU FAMILIA KISA TENDO LA NDOA ..KAA NAE CHINI MZUNGUMZE NAE VEMA KUHUSU SWALA HILI NA IKISHINDIKANA KABISA TAFUTA KIPOZEO CHA PEMBENI NAWE UJIFANYE BUSY KUMUOMBA TENA HAKUNA!! ATAKUULIZA ULIZA MASWALI UMWAMBIE MKE WANGU NIMEONA NIVUMILIE MAANA KILA NIKIKUOMBA HUTAKI BASI SIKU UKITAKA MKE WANGU UTANIJUZA..
 
USIHARIBU FAMILIA KISA TENDO LA NDOA ..KAA NAE CHINI MZUNGUMZE NAE VEMA KUHUSU SWALA HILI NA IKISHINDIKANA KABISA TAFUTA KIPOZEO CHA PEMBENI NAWE UJIFANYE BUSY KUMUOMBA TENA HAKUNA!! ATAKUULIZA ULIZA MASWALI UMWAMBIE MKE WANGU NIMEONA NIVUMILIE MAANA KILA NIKIKUOMBA HUTAKI BASI SIKU UKITAKA MKE WANGU UTANIJUZA..
Hapo umenena, wanawake wachoyo wa tendo la ndoa kwa waume zao, dawa yao ni kipozeo tu hakuna namna.
 
Yaelekea Unapenda kufanya mapenzi sanaaa kha, umegeuza msosi.
 
Back
Top Bottom