Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,636
- 3,162
Wakuu habari zenu, kwema, wazima humu!
Ngoja twende kwenye mada.
Ni hivi nina mke nimeoa tangia mwaka 2013 tumebatika kupata watoto 4 wa kiume 3 wa kike 1.
Wakuu kabla sijamuoa mke wangu kipindi hicho tulivyokutana miaka ya 2007 tupo kwenye uchumba tulikuwa tuna fanya sana mapenzi, alikuwa akinipa k frequently yani akija geto ni kufanya mapenzi mwanzo mwisho.
Mpaka nikampa mimba tukabahatika kupata watoto mapacha wa kiume mwaka 2008 tukakaa kwenye uchumba sugu wee ila ilivyofika mwaka 2013 tukaoana.
Tulivyopata watoto mapacha, mke alikuwa anatabia kipindi kile ana mimba ya kwanza ya awa mapacha kipindi icho mimba ina miezi 6 kama 7 ivi, mke wangu alikuwa anapenda sana nifanye nae mapenzi yani alikuwa ana ny*g* balaa na akiwa na mimba uwa anakuwa mtamu na wa moto aisee ni shida nilikuwa nampiga mashine kweli kweli.
Mwaka 2014 tukapata mtoto wa 3 wa pia kipindi ikikiwa na mimba ya huyu mtoto wa 3 pia nilikuwa nafanya nae mapenzi kama kawa tena alikuwa anapenda balaa.
Mwaka 2016 tukapata mtoto wa kike pia kipindi akiwa na mimba ya huyu nilikuwa nafanya mapenzi balaa yani tena yeye anapenda sana.
Ila mwaka huu ana mimba tangia akiwa na mimba sasa ina miezi 5 ila mke wangu hapendi niwe nafanya nae mapenzi kabisa.
Wakuu na mimi kuchepuka si taki, wakuu nimepiga sana punyeto yani kama jana nimepiga punyeto bao mbili mfululizo uume unaniuma balaa mke wangu hataki kunipa.
Napata shida sana wakuu yani mpaka najiuliza huyu mwanamke kapatwa na nini mbona mimba hii hapendi niwe nafanya nae mapnzi why?
Msaada kwenu wakuu, nifanyaje kuchepuka sitaki na ndomana nimepiga punyeto ila nyeto aisee sitosheki kabisa wakuu.
Msaada wadau
[HASHTAG]#nimelala[/HASHTAG] mzungu wa nne apa#