Mbeba box mtarajiwa huyo. Nipe jina lake nimwandikishe kwenye daftari la wabeba box.
Ha ha haa Raisi wa wabeba box dah nlishasahau.
Eti kubeba box ni kazi ktk category ya "shame jobs"?
Shame jobs kivipi? Kama mtu shughuli zako zinakuingizia rizq halali na unajitegemea na hicho chochote ukipatacho (hata kiwe kidogo namna gani) na huombi mboga wala chumvi kwa mtu, shame itoke wapi?
Kabisa mkuu!!!Huyu jamaa kama vile ameshikiwa uamuzi!!huyo SIO MKE WAKO ila umezaa nae tu.
angekuwa mkeo usingekuwa unaongea haya sasa
tafakari!!
Mkuu nilikuwa nauliza tu, baada ya kampuni kubwa za Ford, Toyota na Holden kutangaza kuhama barani Australia na kukatisha ajira zaid ya 4000, waziri wao mmoja alisikika akisema 'do you expect Australian to crave for shame jobs' meaning kazi zisizo professional (kuuza McD, KFC, s/mkt)

Tatizo letu wabongo tunadharau sana utafikiri hapa bongo wote ni maofisa ndio maana wanadharau hata manesi wetu hapa bongo. Kipi bora kutapeli watu au kufanya kazi halaliNi ujinga kudhani kuwa ajira za sekta ya huduma ni ajira za aibu.
Mtu unaenda kwenye hizo sehemu, unahudumiwa vizuri kumbe deep down unawadharau hao wanaozifanya hizo kazi na ambao ndo wanakuhudumia wewe.
Hiyo ni akili kweli? SMFH!!!!
huyo SIO MKE WAKO ila umezaa nae tu.
angekuwa mkeo usingekuwa unaongea haya sasa
tafakari!!
Piga moyo konde muache aende japo unapaswa kumuweka chini na kumsihi sana juu ya kuheshimu mahusiano yenu na kuyatunza,lakini pia akili aliyonayo ni wewe mwenyewe ndo unaijua,kama si mtu mwenye hofu ya MUNGU na anapenda kuishi maisha kama ya dada zetu wa siku hizi hapo kaka mziki unao,tafakari kwa kina!