Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi kila siku mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema wanaume hawaruhusiwi inawezakana kweli?

Naombei ushauri ili nimwingize kwenye 18 zangu!!!!
 
Jifanye una mahaba mpeleke kazini(kama ana gari aliache nyumbani)jioni mfuate mpitishe huko kwenye maombi msubiri nje,wakimaliza maombi yao akukute nje muondoke wote akikasirika ujue hapo kuna Namna🤗🤗🤗🤗
 
Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema wanaume hawaruhusiwi inawezana kweli?

Naombei ushauri ili nimwingize kwenye 18 zangu!!!!
Kama ni kweli pole sana mkuu.

Mtoto wa pili atakuwa sio wako
 
Back
Top Bottom