Hemed Maronda
Senior Member
- Oct 27, 2010
- 138
- 44
Nashukuru kwa ushauri wako ila naumia sana moyoni kila siku nakosa usingizi kwa kufikiria jambo hili naona UTAMU WA MAPENZI UMEKULA KWANGU!nenda taratibu dogo, waone washauri wa hizo issue!!!!
Nimeanza kuishi na huyu mwanamke toka mwaka 2007 wakati huo tulikuwa tunaishi kama wapenzi na tulikuwa tunatembeleana tu yeye akiwa Dar na mimi nikiwa nafanyakazi Mbamba Bay lkn ilipofika mwezi Desemba 2009 niliamua nipeleke barua kwao ili nioe,jambo la ajaabu lililotokea nilitajiwa mahali kubwa sana yaani Tshs 4,500,000/= mimi nilkawa nimeshindwa kuilipa na ndoa ikashindikana na yeye akarudi kwao Arusha, niliumia sana kwa kukosa kumuoa ilipofika mwezi Machi 2010 yeye alinipigia simu na kunieleza kuwa yuko tayari kuja kuishi na mimi Mbamba Bay ingawa wazazi wake walinitajia mahali kubwa,nilikubali kumpokea na kweli alifika.
Maisha yetu yalikuwa mazuri sana na kila mmoja wetu alisahau tofauti zilizotokea, lkn baada ya kama mwezi mmoja alianzisha ugomvi ambao tulishindwa kuusuluhisha na aliomba nauli ya kurudi kwao na nilimpa.
Ilipofika mwezi Juni 2010 aliomba radhi na akaniomba tuishi tena na mimi bila kinyongo nilikubali ila moyo wangu ulikuwa na wasiwasi kidogo nikaona kuwa safari hii atakapokuja basi ni lazima tucheki HIV.Nikikwenda kumpokea Mbeya na alipofika tu nilimweleza kusudio langu la kupima HIV mimi na yeye .Tarehe 6 Julai tukaenda kupima pale Hospitali ya Rufaa matokeo yake yeye akawa amekutwa na Virusi vya UKIMWI na mimi nikawa sina! Tulipewa maelekezo ya jinsi gani ya kuishi katika mahusiano yetu.Mwenzangu aliipokea hali yake kwa majonzi na mimi nikawa na kazi ya ziada kumtuliza,tukarudi wote Mbamba Bay ila baada ya kurudi tu kama wiki mbili akanywa sumu ili afe,tulimuwahisha Hospitali na tukafanikiwa kuokoa maisha yake,lkn ghafla akanijengea chuki ambayo haina mfano na aliahidi mbele yangu kuwa ni lazima aniue! Niliwaelezea wazazi wangu na wazazi wake pia,wazazi wangu wakanishauri nimrudishe kwao na mke wangu akawa hataki kurudi kwao na tuliendelea kuishi hivyo hadi mwezi Oktoba tarehe 16 alipoamua kuondoka mwenyewe.Ingawa mke wangu ameondoka bado nampenda ila nilipokuja kufanya uchunguzi zaidi nimekuja kufahamu kuwa maisha yake yalikuwa ni ya kutangatanga sana na hivi sasa yupo Dar! Nifanyeje?

Mkuu mbona unamuita mke wakati ndoa ilishindikana, embu tuweke sawa ,kabla ya kukushauri.Nimeanza kuishi na huyu mwanamke toka mwaka 2007 wakati huo tulikuwa tunaishi kama wapenzi
.
.
.
mwezi Desemba 2009 niliamua nipeleke barua kwao ili nioe,jambo la ajaabu lililotokea nilitajiwa mahali kubwa sana yaani Tshs 4,500,000/= mimi nilkawa nimeshindwa kuilipa na ndoa ikashindikana
.
.
.
mke wangu akawa hataki kurudi kwao na tuliendelea kuishi hivyo hadi mwezi Oktoba tarehe 16 alipoamua kuondoka mwenyewe.Ingawa mke wangu ameondoka bado nampenda ila nilipokuja kufanya uchunguzi zaidi nimekuja kufahamu kuwa maisha yake yalikuwa ni ya kutangatanga sana na hivi sasa yupo Dar! Nifanyeje?
CBZ huyo ni unyanyapaa, muombe radhi mshikaji for sure hutakiwi kumkatisha tamaa mtu kihivyo. Hili janga ni letu wote usimnyooshee kidole kimoja mtu wakati vinne vinarudi kwakolol, kama ni mkeo piga ua mlikuwa mnadu bila ndomu, kama mliachana just for few months mama akarudi 'connected to the grid' inamaanisha hata wewe kaka upo njia panda.
kuna mzee fulani alikua na ngoma. akasema kwamba mkewe amepima hana. baada ya miezi 6 mama alipima tena akakutwa na ngwengwe! kwahiyo mkuu....i feel sorry for you....so sorry....huyo mkeo alikuja kukumaliza tu...alikuja ku revenge'....🙂
Mkuu naomba sana ukapate elimu ya uzazi na jinsialol, kama ni mkeo piga ua mlikuwa mnadu bila ndomu, kama mliachana just for few months mama akarudi 'connected to the grid' inamaanisha hata wewe kaka upo njia panda.
kuna mzee fulani alikua na ngoma. akasema kwamba mkewe amepima hana. baada ya miezi 6 mama alipima tena akakutwa na ngwengwe! kwahiyo mkuu....i feel sorry for you....so sorry....huyo mkeo alikuja kukumaliza tu...alikuja ku revenge'....🙂
Nashukuru sana kwa kunishauri hivyo,ninajitahidi sana kujitenga nae lkn namba zangu za simu zote anazo sasa anachokifanya haipiti zaidi ya siku tatu aidha atanitumia sms za kunitukana ama atanipigia moja kwa moja na kuanza kunitukana mimi huwa simjibu na wala siwezi kuzima simu yangu kwa ajili yake!
unfortunately hemed... hadithi yako inakosa consistency sana tu, sasa sijui n wewe, nyie au mimi
Ili nisikuvunje moyo nakushauri ujiangalie wewe mwenyewe kam ni mzima kabisa na una akili sawasawa.... maana nahisi kama habari imechakachuka kidogo
nashindwa kuelewa kama ni mkeo, nashindwa kuelewa kama alitaka kukuua ni kwanini unasikitika
sielewi mtu mmehangaika ana kuwa pamoja na baada ya mwezi akaondoka tena
mara akakataa kuondoa
mara kaondoka tena
mara wazazi walikata... halafu tena nimeongea na wazazi
nahisi una matatizo makubwa wewe kama wewe... na yeye nadhani anajaribu kukuelewa lakini haiwezekani... saas kisa cha kuja kutuambia ana ukimwi nini?
shemeji na wewe naomba upime mara tatu ili uwe na uhakika na afya yako .baada ya hapo chukua hatua sahihi ya kuachana nae kwani tayari ana kisasi cha kukuua na wewe ..
Nimeanza kuishi na huyu mwanamke toka mwaka 2007 wakati huo tulikuwa tunaishi kama wapenzi na tulikuwa tunatembeleana tu yeye akiwa Dar na mimi nikiwa nafanyakazi Mbamba Bay lkn ilipofika mwezi Desemba 2009 niliamua nipeleke barua kwao ili nioe,jambo la ajaabu lililotokea nilitajiwa mahali kubwa sana yaani Tshs 4,500,000/= mimi nilkawa nimeshindwa kuilipa na ndoa ikashindikana na yeye akarudi kwao Arusha, niliumia sana kwa kukosa kumuoa ilipofika mwezi Machi 2010 yeye alinipigia simu na kunieleza kuwa yuko tayari kuja kuishi na mimi Mbamba Bay ingawa wazazi wake walinitajia mahali kubwa,nilikubali kumpokea na kweli alifika.
Maisha yetu yalikuwa mazuri sana na kila mmoja wetu alisahau tofauti zilizotokea, lkn baada ya kama mwezi mmoja alianzisha ugomvi ambao tulishindwa kuusuluhisha na aliomba nauli ya kurudi kwao na nilimpa.
Ilipofika mwezi Juni 2010 aliomba radhi na akaniomba tuishi tena na mimi bila kinyongo nilikubali ila moyo wangu ulikuwa na wasiwasi kidogo nikaona kuwa safari hii atakapokuja basi ni lazima tucheki HIV.Nikikwenda kumpokea Mbeya na alipofika tu nilimweleza kusudio langu la kupima HIV mimi na yeye .Tarehe 6 Julai tukaenda kupima pale Hospitali ya Rufaa matokeo yake yeye akawa amekutwa na Virusi vya UKIMWI na mimi nikawa sina! Tulipewa maelekezo ya jinsi gani ya kuishi katika mahusiano yetu.Mwenzangu aliipokea hali yake kwa majonzi na mimi nikawa na kazi ya ziada kumtuliza,tukarudi wote Mbamba Bay ila baada ya kurudi tu kama wiki mbili akanywa sumu ili afe,tulimuwahisha Hospitali na tukafanikiwa kuokoa maisha yake,lkn ghafla akanijengea chuki ambayo haina mfano na aliahidi mbele yangu kuwa ni lazima aniue!:A S angry::A S angry: Niliwaelezea wazazi wangu na wazazi wake pia,wazazi wangu wakanishauri nimrudishe kwao na mke wangu akawa hataki kurudi kwao na tuliendelea kuishi hivyo hadi mwezi Oktoba tarehe 16 alipoamua kuondoka mwenyewe.Ingawa mke wangu ameondoka bado nampenda ila nilipokuja kufanya uchunguzi zaidi nimekuja kufahamu kuwa maisha yake yalikuwa ni ya kutangatanga sana na hivi sasa yupo Dar! Nifanyeje?