Mke wangu amezidisha dharau

Kufuga mwanamke ni risky sana inaonekana.
Waliopo kwenye hiyo biashara wanaona gere kwa siopo huko kutwa kucha kushauri vijana ambao wengine hawajapevuka vzr kuwajua wanawake, kutofautisha faida na hasara za ngono waingie huko kwa msukumo wa dini sijui tamaduni na blaablaaa nyingine ambazo sio za msingi.
Mtu hajui vizur hata aina za nyuchi na utamu wake,unamshauri vp aingie kwenye ndoa😄😄😄
Vijana wajifunza kutofautisha uhitaji wa ndoa na ashki(nyege) itawasaidia kuchagua wanawake wakuoa na kuachana na malaya.
 
Naungana na ninyi watu wa pwani,
Cc mpka sokoni tunaenda wenyewe

Me mke wng hajui ata matumizi ya sokoni yanafanywaje siku ata nikimpa laki aende basi bado atarudi na kasoro ya vitu vyengin hajanunua ni kwa sabab sio mazoea yake kwenda sokoni
 
Nahisi kuna uhitaji wa kuenda semina za ndoa kabla ya kuingia ndani na kuishi na mume/mke,maana hali hii iko pahali pengi sana,yaani kati ya ndoa 100, zenye afadhali ni 12,nyingine zote,pangu pakavu tia mchuzi. Nendeni semina ninyi nyote.
Ameshapata mtu wa kumshikia Akili!
 
Unatombewa wewe. Piga chini k zipo nyingi sana zinatafuta sponsors.
 
Pole sana
 
Nahisi kuna uhitaji wa kuenda semina za ndoa kabla ya kuingia ndani na kuishi na mume/mke,maana hali hii iko pahali pengi sana,yaani kati ya ndoa 100, zenye afadhali ni 12,nyingine zote,pangu pakavu tia mchuzi. Nendeni semina ninyi nyote.
Hahaha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…