Mke wangu amesema niondoke

Mke wangu amesema niondoke

Ndio maana Hua sitaki kufikiria either Kujenga au kupanga na mwanamke chumba kimoja maishani mwangu.
Mwananume onesha ujasiri gangamara, Acha kuuza uanamme wako.
 
<font size="6">Ndio maana Hua sitaki kufikiria either Kujenga au kupanga na mwanamke chumba kimoja maishani mwangu.<br>
Mwananume onesha ujasiri gangamara, Acha kuuza uanamme wako.</font><br>
 
Kaoa gubegube huyo, mwambie "KUANZA UPYA SI UJINGA, UJINGA NI KUKUMBATIA MATESO YA MOYONI".
 
Wana watoto wawili na wote wameajiriwa, bado wanaishi chumba kimoja, wanahitaji msaidizi wa ndani.....hii hai-add up.

Msichana wa kazi anaongeza status mjini....

Hahahah sijaona sababu ya kuwa na msichana..... unles watoto bado ni wachanga....na je wanalala.na watoto kwenye chumba kimoja????

Itabidi Magufuli awaongezee watumishi wa umma mishahara aisee
 
Hahaha. Hii nimegoma kunywa, joto kali.

Upo lakini mpendwa? Umeadimika.
 
kweli unaishi chumba kimoja unakuwa na dada wa kazi?!!!
 
Back
Top Bottom