madiya85
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 282
- 65
Wakuu,
Kuna jirani yangu ana mkewe kimsing huwa wanazozana lakini yanaisha sasa juzi jamaa akawa anamlalamikia mkewe kwanini hamjali mda wote yeye kakaa na dada wa kazi jamaa yuko sitting room mwisho wa siku ikabidi jamaa amuite mkewe waongee tatizo nini jibu alilotoa mke ni kumwambia jamaa akitaka aondoke tu, jamaa ilimuuma sana kwani wana watoto wawili mpaka sasa wote ni waajiriwa serikalini.
Sasa pengine hiki ndicho kinachompa kiburi mwanamke sasa jamaa anataka kuondoka akaanze maisha mapya japo anaomba ushauri kwanza,kuna kipindi huyo mkewe walizozana asubuhi jamaa wakati yuko kazn akatumiwa sms na mkewe akamwambia wewe si mwanaume katika wanaume ni suruali tu,shoga mkubwa.
Kuna kipindi walikuwa na chumba kimoja sasa dada wa kazi akawa analala kwa jirani eeh yule mkewe akawa anamlazmisha jamaa wapange vyumba viwili jamaa akawa anamwambia ngoja kodi iishe tutaangalia bwana mkewe akamwambia ye anataka akae na dada wa kazi hapo kama jamaa hataki kupanga vyumba viwili atamleta dada wa kazi walale naye humohumo na ktanda hichohicho.
Toka kipindi hicho jamaa mapenzi yalipungua sana kwa mkewe hasa akikumbuka hzo kauli,japo alikuwa anampenda sana nikizungumza naye anasema alishashindwa kumsamehe hizo kauli japo imepita miaka miwili sasa,mbaya zaidi mkewe anatabia ya kuhamisha mambo ya familia kwa marafiki zake huko kazini kwake ni mwalimu na pia kuyapeleka kwa mchungaji wake sasa jamaa hapend sana hii tabia yani kuna kipindi fulani jamaa alipishana na baba ake yule mkewe akayapeleka kwa pastor wake.
SASA HUYU NDUGU AFANYAJE