Mke wangu amerudi nyumbani

Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea.

Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa kila aina kuna wengine wanweza kukufanya ukaharibu kabisa.

Member mmoja alinishauri niendelee kumtafuta na nilipambana mno kumtafuta

Jana nimewachukua nyumbani kwao rasmi. Leo nimeamka mapema kuwaandalia breakfast baada ya kumchosha sanaa waifu na game zitooo la kulikosa karibu mwezi mzima. Watoto wangu leo nina mipango nao kama yote mazee. Shukran

Lesson:
1. Kama kichwa nitailinda hii familia kama kichwa kwelikweli. Na nyie washauri wa ajabu sijui nikome aniache, hajaniacha sasa.

2. Mkikoseana sameaneni ni heri shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua na ulieanza nae maliza nae.

Pia soma: Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?
Mkuu ungepima afya kwanza,usingepiga peku peku.

Mwezi mmoja ni mwingi Sana kukaa mbali na mwanamke tena mkiwa mna ugomvi.
 
Kuwa makini Kaka mi ilibaki kidogo nimtombee rafk yangu mke wake.

Jamaa alikuwa Mzee WA michepuko sana na vpgo kwa mkewe sa mi shemeji mtu ndo kulikuwa kimbilio la mkewe kumtulza na kumuombea msamaha jamaa yangu
Kuna SKU jamaa alisafiri sa alinipa mzgo nimpelekee mkewe usku Ile nmetimba Shem tabasamu kama lote na mumewe aliniambia nilale kwake kwani huwa kuna vibaka sana sa ni vizuri nilale pale kwake atarudi kesho yake.

Yaani SKU iyo ni kama alikuwa anasubiri Tu nilianzshe anipe mbususu si mnajua tena wajita Wana kidole kinene na kubwa pale juu ya mbususu au bumunda

Yan mpk Saa name usku kagoma enda lala ilibidi ninyanyuke nitoke nje kisha niliporudi nikazama geto kulala hakukubali usku mwema yangu
Ulifanya busara sana ...
 
Unaonekana bado hujawa na uwezo wa kua baba wa familia, kua kichwa, you are not a man enough. Wewe ni mkia.

Na kwa mtindo ho huyo mwanamke atakua anakuacha mara kwa mara sana.

Halafu unajidanganya eti mkeo hajapata game mwezi mzima, nani kakudanganya?

Huyo mwanamke hakupendi ila wewe ndio unampenda sana. Atakupa shida sana. Inaonekana karudi sababu ya watoto na sio sababu anakupenda.

Expect the worsts.
Wewe una matatizo
 
Blaza kwa ulivyoandika una stress sanaaaa. Anipelekeshe tu fresh kabisa si watoto watanufaika.

Una roho mbaya kishenzy blaza eti hanipendi. Mimi ni sio wa ku bet bar na ku discuss mipira sio wa kuchukua tu ushauri bila kutathmini.

Maneno hayajawahi kuniumiza ila furaha yangu ni priority na yeye na madogo ni furaha yangu.

Hata kama amerudi sababu ya madogo,tuna AMANi bro yaani freshiiiii
Hahaaaaa, umempiga 👊 ya 👃
 
Eipuke sana zinaa endapo ndo ilihatarisha ndoa yako. Binadamu hasahau hata akisamehe na mara nyingi akipata nafasi akili yake humwambia hata mwenzako alishawahi kukusaliti.

Hii iliwatokea marafiki zangu wawili miaka ya nyuma..
Mmoja mke alienda kwa mdhamini wa ndoa na mwingine alikuja kwa wazazi wangu maana mm ni rafiki wa karibu wa mume wake na wazazi wa mume walikuwa mbali. Wote hawakwenda kwao.

Wote ndoa zao zipo imara sasa lakini kuna nyakati wake zao hukumbushia yaliyotokea. Inakuwa kama kovu flani ambalo mkeo akipata wa kumdanganya analiangalia kovu na kama ni dhaifu basi anajipa uhalali sababu anakovu linalomwuliza we mumeo ni mwaminifu?

Kuna mke wa mmoja alishawahi onekana akitumika nikaletewa taarifa ila nilishindwa kumweleza mshkaji na mpaka sasa ndoa yao ipo sawa.
 
Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea.

Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa kila aina kuna wengine wanweza kukufanya ukaharibu kabisa.

Member mmoja alinishauri niendelee kumtafuta na nilipambana mno kumtafuta

Jana nimewachukua nyumbani kwao rasmi. Leo nimeamka mapema kuwaandalia breakfast baada ya kumchosha sanaa waifu na game zitooo la kulikosa karibu mwezi mzima. Watoto wangu leo nina mipango nao kama yote mazee. Shukran

Lesson:
1. Kama kichwa nitailinda hii familia kama kichwa kwelikweli. Na nyie washauri wa ajabu sijui nikome aniache, hajaniacha sasa.

2. Mkikoseana sameaneni ni heri shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua na ulieanza nae maliza nae.

Pia soma: Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?
Hongera kwa bonge la gemu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Heri yako 🙇🙇
 
Siyo lazima umalize na ulieanza nae kijana, kuwa makini.
Naona umemuandalia na chai kabisa, Basi sawa.
 
Mkuu achana hizi sauti zitaabishazo

Focus on your marriage. Jenga ufalme wa Mungu duniani kupitia ndoa yako. Iheshimu ndoa, be a man be good. Mliapa wawili pale mbele. Miluzi mingi.....

Upendo ukaongezeke kwenu, nawatakia amani.

May the peace of God that SURPASSES ALL HUMAN UNDERSTANDING keep your heart and mind.

Dont look back, focus on your testimony. Kilichopatikana kwa maombi kinalindwa na maombi full stop.

#achananawatuwajf#
Naungana na mtoa mada hii, hata wengine hawajui maana ya kuwa kichwa kwenye familia, wanafikiri ni ubabe tu na mwanamke ni ndiyo tu.

Jifunze kujua msaidizi kwenye ndoa ina maana.
Umefanya jambo la maana sana, mpende mke wako na mheshimu na umsikilize.

Ndoa nyingi zilizodumu zina utaratibu wa kusikilizana na kuonyana
 
Kabisa..ujue watu wengi sana wanatafuta wife material lakini hata wao si husband materials.

Sa mtu ukute ana matabia yake huko hataki kukua, kubadilika anataka mke mwenye vigezo vizuri wapi na wapi???
Tengeneza maisha yako mwanadamu wewe kama mwanaume, baba mtarajiwa, mume anayekuja kuwa....then God anakupa wife material hivo yani....

Lakini tukiendelea kukaza mafuvu yetu tusitake kubadilika, eti misimamo hahahahaa....chuya tu, vumbi.......
Be a good man, get a good wife have a good marriage yenye kujengana na kuishi vizuri...

#blessyouall#
 
Unaonekana bado hujawa na uwezo wa kua baba wa familia, kua kichwa, you are not a man enough. Wewe ni mkia.

Na kwa mtindo ho huyo mwanamke atakua anakuacha mara kwa mara sana.

Halafu unajidanganya eti mkeo hajapata game mwezi mzima, nani kakudanganya?

Huyo mwanamke hakupendi ila wewe ndio unampenda sana. Atakupa shida sana. Inaonekana karudi sababu ya watoto na sio sababu anakupenda.

Expect the worsts.
Mkuu naomba unisaidie kujibu haya maswali namimi nijifunze:-

Umejuaje Mwanamke hampendi Mzazi mwenzie?

Una uhakika huyo Mke wake alichakatwa mwezi mzima huu?

Umejuaje alirudi kwaajili tu ya Watoto na sio alimmiss mwenzie

Wewe kama Baba, ungefanya nini tofauti na huyu ambaye bado hajafaa kuwa baba?
 
Back
Top Bottom