Mke wangu amepata zero kwenye interview, ananilaumu

Hhhaaaaa nimefurahia hapo tu kwenye kuvaa tait mbili na surual na mkanda juu hhhaaaaaa
 
pole kwa kuoa dubwasha walilochovya wenzako lakini una moyo!
 
Nyie ndio mnaoharibia wenye uwezo wa kufanya kazi na kuendekeza nchi yetu nafasi na kupeana

Mnatia aibu, sasa kwanini mnasumbua kuomva watu qafanye interview

Shauri yako na mkeo ngoja siku aje akutangaze utakoma, kama akili hana ni hana ka sivyo ulimoa maswali na angepasi.

Mtajiju
 
NB
Tuna watoto wawili

Mkeo ni kilaza.

Halafu kuna watu huwa wanadai eti watoto hurithi akili kwa asilimia 100 [jambo ambalo sikubaliani nalo kabisa] toka kwa mama:becky:.

Hivyo basi, kwa msingi, wanao nao watakuwa vilaza kama mama yao.
 
Yani story za jf ukizitafakar unaishia kucheka tu.mkuu ofic yenu inajishughulisha na utoaji wa huduma gan?
 

Ni kweli wanatakiwa wajipange , Taarifa ya HABARI ya saa mbili usiku ni kama ndo ya kutwa nzima. Sasa inapokuwa shallow tunashindwa kuwaelewa.Mie nahisi ni uvivu tu wa kuandaa habari hasa za MICHEZO.Mara utasikia kombe la mbuzi, mara ndondo cup nk. Ovyo.BADIRIKENI
 
Hongera kwa kuweka ukweli wa namna mnavyogawana kazi huku mkitangaza kazi kwa usaili wa watu zaidi ya 1000 na hii ni kampuni nyingi zinafanya hivyo..

vipi shemeji hafika huku MMU,
usije ndo ukaongeza tatizo mkuu.
 
Sasa si ungempa desa la interview before... yupo sahihi kabisa kukununia na kukunyima papuchi yake unless otherwise...ina maana ulikuwa hujui ukilaza wa mkeo na ujue namna ya kumsaidia..!
 
Duu ngoja kwanza nikajisomee namna ya kudeal na issue kama hizi!
Kumbe degree za siku hizi hata vilaza wanagonga ma -GPA ya juu!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…