Mke wangu ameniudhi tena

Sasa yeye kamwambia Baba mkwe wako umenuna, na wewe mbona umeiambia hii hadhara ya karibu watu laki tatu ndani na nje ya nchi!? Na yeye akununie!? Tulizana ndani ya ndoa yako acha kukurupuka na kukimbilia JF kuja kuropoka matatizo madogo madogo ya ndani ya ndoa yako.
 

Hana ndoa huyo, anaishi kimada tu!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Reactions: BAK
Kijana acha kutuchosha! inaonekana umekurupuka tu kuoa, hukumshirikisha hata babu zako! kwa maana nyingine ni kwamba jando hujaenda!

Huyu jamaa ameenda jando kweli?au hakulelewa na Wazazi wake!!?
Hana kaba ya ulimi halafu anamshangaa mkewe.tafuta kufindwa ndoa si leso.usijitie za mtonga maji ya dawa kuoshea donda
 

Neno Hilo
 

Ebu taja tofauti kati ya matukio hayo mawili...ha ha ha
 
Huyu jamaa ameenda jando kweli?au hakulelewa na Wazazi wake!!?
Hana kaba ya ulimi halafu anamshangaa mkewe.tafuta kufindwa ndoa si leso.usijitie za mtonga maji ya dawa kuoshea donda

Kweli jando sijaenda hata kutailiwa bado...mie mmanda..
 
Kwi kwi kwi kwi matusi ya nini sasa!? Lol! Ndiyo matatizo ya kuingia kwenye ndoa wakati hujitambui. Tulizana au ndoa itakushinda.

Mbona kihelehele wewe...au unajiona takooo mwenyewe...
 
Ndo mana kitu nilichojifunza katika haya maisha swala LA ndoa cyo LA kukurupuka linahitaji MTU kufikiri na kuamua kwa busara kwan ujue MTU utakae muoa au kuolewa nae mnaendana hata kama kuna mapungufu ni Yale ambayo unaweza kuvumilia na maisha yakaenda.. Ushaur wako kaka.. Kaa kwanza utulie ukiwa huna hasira ongea na wife kwa upendo umueleze ukwel na faida za kutunza siri za familia asipoelewa ongea na mama yake.na kama Hana kaz mtafutie kitu cha kumkeep busy
 
Kwan Jambo Gan Ambalo hutaki mkweo ajue? we hanisi umeshindwa kumzalisha mkeo nn?
 
Yeye kasema kwa baba mkwe mmoja.. wewe umesema kwa maelfu ya wanaJF... nyie wote mna mambo ya kitoto
 
Yeye kasema kwa baba mkwe mmoja.. wewe umesema kwa maelfu ya wanaJF... nyie wote mna mambo ya kitoto

Basi hayo ndio maisha tuliyoyachagua ya kitoto...no more umbea...ha ha ha
 
bora kuolewa na gunia la misumari...wanaume wengi mmekua na akili fupi..
aliona hauna uwezo Ndo maana kakutafutia msaada.

Hahahaaaaaaaa kula likes mdau! Akili fupi ni sheeeeder! Inaongelea mapishi ya Dagaa sijui uvumbuzi na ugunduzi afanye nani!
 
Sasa umeongea naye na amekuomba msamaha mbona unaliendeleza huku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…