Mmmh!! kazi kwel, ushauri wa familia unakukera, wajf unaufurahia. hapa tatizo naliona kwako, na namuonea huruma sana mkeo.
Hapana mpenzi ....suala la kumuhusisha baba mkwe silitaki coz i can manage my self...
And i feel baba mkwe atanidharau na kujua mambo yangu ambayo nilikuwa napanga kuwasuplies both maternal na paternal
mi nashangaa mwanaume mzima umeshindwa kuhandle mke wako, au yeye ndo anayekulinda na pesa kila kitu yeye ndo anashughulikia? maana sijawahi ona mwanaume mnyenyekevu hivi kwa wife ambaye hajisomi... Be a man acha utoto
Kijana acha kutuchosha! inaonekana umekurupuka tu kuoa, hukumshirikisha hata babu zako! kwa maana nyingine ni kwamba jando hujaenda!Juzi nilileta taarifa ya wife kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tumedraft ratiba ya chakula kwa wiki nzima nkamsamee.
Sasa kama wiki ya pili kuna suala ambalo tunalishughulikia kwa pamoja na nmemshirikisha wife kwa 100% ingawa mie ndio ninayeangaika nalo.
Wife aliponiudhi ni pale alipo mwambia baba yake yaani baba mkwe wangu,Jana amenipigia simu na kunieleza yale yote ambayo yapo mezani kwetu tuliyopanga na wife.....na amesisitizia ilo suala ni gumu na anajitolea kutusaidia..nilikosa jibu la kumpa na kuhisi wife amenidhalilisha
Ukizingatia mkwe wangu ni muhafidhina sana mpaka nahisi labda anaona mwanae hayupo eneo sahihi
Nmekasirika sana mpaka nahisi kukimbia kabisa nisionekane tena.
My take....wanawake msipende kushirikisha watu kwenye mambo yenu wawili hata kama baba ako ni tajiri ana uwezo wa kusolve iyo problem.
Natoa taarifa ya wife kuniudhi tena ndani ya 2015...over
Huko kwenye form hajafika maana nilimpa mimba wakati yupo darasa la tano...std 5
Kwa kweli nahisi kushindwa but let me apply ukulya and i will do as u say...
Aisee kimbia tu hawez kutoa maamuzi mpaka baba yake loh
Hapana mpenzi ....suala la kumuhusisha baba mkwe silitaki coz i can manage my self...
And i feel baba mkwe atanidharau na kujua mambo yangu ambayo nilikuwa napanga kuwasuplies both maternal na paternal
Nimekumiss binamu
Ulikimbilia kuoa wakati hujajiandaa kisaikolojia sasa unalialia kwenye mitandao Kesho asipovaa pichu pia utakuja kuweka humu. huoni aibu. Watu hutaka ushauri wa mambo magumu si mke hajui kupika unakimbilia kutangaza
Kijana acha kutuchosha! inaonekana umekurupuka tu kuoa, hukumshirikisha hata babu zako! kwa maana nyingine ni kwamba jando hujaenda!
bora kuolewa na gunia la misumari...wanaume wengi mmekua na akili fupi..
aliona hauna uwezo Ndo maana kakutafutia msaada.
Huyo mkeo yupo humu?Na mfahidhina inamaanisha nini?
Mke wako umemwambia hilo suala? na amekuambia sabab gani zimemfanya amwambie baba yake hili suala lenu? maana watu mmeweka mitandao kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya ndani yaani mtu kabla haujachukua hata hatua za kutatua tatzo unalileta huku muda mwingine ni kudhalilishana, maana yake hapo unamaanisha mkeo hana uwezo wa kutunza siri za ndani, pengine aliona hilo mnalotaka kufanya huna uwezo nalo ndo maana akaomba msaada kwa baba yake ili awasaidie kutatua kwanini umeshindwa kuiamini, kwani mkwe wako si mzazi wako kana kwamba pale mnapo kwama anashindwa kutoa msaada????