Mke wangu ameniudhi tena

Ndoa hizi majanga! We mleta mada huna mshenga wewe? Mambo ya ndani kuyaleta mtandaoni inahusu??! Inaonyesha huna sauti kama mwanaume! Mda mwingine mtie hata vibao kidogo umweke sawa inapunguza stress!
 
Mna miaka mingapi kwenye ndoa yenu?
 
acha ujinga wa mawazo finyu,wewe mwenyew yamekushinda umekuja kuleta janvini watu wakusaidie,tena wengi wao huwafahamu kwa id zao za uongo,lkn yeye kusema kwa baba mkwe imekua kesi
 
acha ujinga wa mawazo finyu,wewe mwenyew yamekushinda umekuja kuleta janvini watu wakusaidie,tena wengi wao huwafahamu kwa id zao za uongo,lkn yeye kusema kwa baba mkwe imekua kesi

We endelea tu na shobo zako izo...nani amekwambia yamenishinda na nataka kusaidiwa....

Wasengerema kama nyie mnaokurupuka dudu ikigusa gololi mi natupa kule....shwain
 
ila kumbuka hajaomba hapa ushauri! jaman kuna mambo mengine yanaboa kaja kushare experience ya maisha.

hata ungekuwa wew unaboreka mtu mnaongea kitu nda turiiiiiiii kwa baba as if mme kashindwa?

mtu ukisha olewa inabidi kuamini kuwa mmewe anaweza sio mnafanya kitu na hamjashindwa, nduki kwa baba hapana.

labda nkijadiliana kuwa mkaombe msaada hapo sawa.otherwise ni dharau. sory.
 
We endelea tu na shobo zako izo...nani amekwambia yamenishinda na nataka kusaidiwa....

Wasengerema kama nyie mnaokurupuka dudu ikigusa gololi mi natupa kule....shwain

we pigapiga kelele tu fa..a wewe,subiri baba mkwe aje akusaidie ndio upate akili,izi ndoa za utotoni waga zinasumbua sana,
 
Hivi wewe ni mwanaume kweli?

Bitching all around isn't a character of men

You need to man up or shut up
 
We endelea tu na shobo zako izo...nani amekwambiia yamenishinda na nataka kusaidiwa....

Wasengerema kama nyie mnaokurupuka dudu ikigusa gololi mi natupa kule....shwain
Wewe ni mboga tu... Wanaume hawapigi Kelele za kingese kuhusu wake zao mitandaoni
 
Uanaume wako nina wasiwasi nao au bado mvulana mkuu?
Jingine nililoliona ni NDOA ZA UTOTONI
 
Huo ni ubavu wako,huoni mna tabia zinafanana ila mnapishana tu pa kusema mambo yenu ya ndani?
 
life is pain,be a man,be strong.
 
Hivi wewe ni mwanaume kweli?

Bitching all around isn't a character of men

You need to man up or shut up

Wewe ni mboga tu... Wanaume hawapigi Kelele za kingese kuhusu wake zao mitandaoni

We KIWAVI umeamua kunitukana....

Icho kipele kinachokuwasha mie si...----....gi mi...ku....ndu mikubwa yawazee.

Hapa haujaitwa na wala sinashobo na makumaaaa kama nyie...u better shup up your big ass hole.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…